Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.

Mkuu Mkandara,

Huyo angekuwa mtoto wa wakulima kama mimi na wewe angelala huko ndani. Baada ya kugundua ni mtoto wao unafikiri kuna kitu watafanya?

Si tumeona kwenye mafisadi? Walio marafiki zao wamekaa nje, wale wengine walioingia ujanja mjini wanasota na kesi Kisutu.

Baba akienda kulia na kutoa chozi kwa Mkulu basi ndio imeisha hivyo!
 
Mimi huwa na pita pita humu kupata habari nyeti lakini si mchangia mada. Lakini sijapendezewa na huu mtindo wa kuto taja majina especially kwa watu kama Zeutamu walio umiza watu wengi kwa kutumia mtandao vibaya. SASA MIMI NINAWEKA JINA LAKE HAPA KUMALIZA MZIZI WA FITINA. JAMAA ALIYEKAMATWA NI:

MALE LUSINDE YES I SAID IT!!!!!!!!!!!!!

next time lets just do what we do yaani "where we dare to talk Openly"
 

kama ni hivyo what is the point kumtia mikononi ?badala yake ni kumueleza mweziwao amkanye mtoto wake.
 
Mizani,
Oooh nooo!, hata sitaki kuamini, jamani hivi kimemkuta nini hata akafikiria kufanya upuuzi alofanya..Hapana mzee mzima hatakiwi kumpa kinga hata kidogo, heshima yake mwenyewe itapotea kwa upuuzi kama huu..
Hata hivyo shukran, hizi habari za kuficha mkuu wangu zilianza kupoteza imani ya JF.. tunayokataa mzee Malecela kuyafanya tunayafanya sisi hapa JF..
 
Khaa! Mbona mlisema 'mtoto wa mkubwa'? Mimi mbona huyo Lusinde ndio namsikia kwa mara ya kwanza? Ni mkubwa wa wapi?
 

this is what we talking about....ahsante mkuu!
 
NN, GT na Invincible - kazi sasa imerahisishwa, nyie sasa ni ku-confirm tu ama ku-refute kama kweli ndio huyu jamaa (itakuwa sio ubaya wenu, ni mizani!)
Can you dare?
 
NN, GT na Invincible - kazi sasa imerahisishwa, nyie sasa ni ku-confirm tu ama ku-refute kama kweli ndio huyu jamaa (itakuwa sio ubaya wenu, ni mizani!)
Can you dare?

I'm not commenting any further....
 
Kumbe unachonga na "baba mwenye nyumba"? Hongera mwanawane!

Muhimu anatuambia hata taa zikiungua ataweka mpya yeye kwa hiyo napiga naye story mara kwa mara na si aishi mtaa wetu huu huu.
 
William Malecela ya kweli haya? Nduguyo alikosa adabu hivyo au vipi? Mimi nilifikiri "nobility" yetu ingefanya better than this, especially the Lusinde-Malecelas ambao largely wame stay scandal free.Kama ni kweli nini kinamsibu mpaka kujihusisha na hii enterprise ya aibu? Alikosa shughuli ya kufanya au uhayawani tu?

Au anakuwa set up tu? Maana watu wanaweza kumzushia mtu kitu tu, kama kazushiwa tunategemea maelezo ya kumsafisha yatolewe, hasa kwa sababu kuna nduguye ni prominent member humu.Kutotoa ufafanuzi kutakuwa ni sawa na kukubali kwamba anahusika.

Katika disappointment zote za "wakubwa" wetu sikutegemea kituko kama hiki, hata kwenye debauchery haiko ni sheer lunacy.

Whither "Noblesse Oblige" ?
 
Last edited:
Siku kadhaa zilizopita FMES alisema hivi, watu wakamuijia juu sana kuwa anaangalia movie,
https://www.jamiiforums.com/488002-post37.html
 
Laiti hizo resources zingetumika kuwatafuta wamiliki wa KAGODA !!
Lakini hapana, mambo hayaendi hivyo
not in Tanzania
not under CCM.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…