Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
i cannot believe this hata humu JF,we are being taken for a ride.
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...
Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...
Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...
Bongo wakikosa sheria wanaweza kukubambika issue chap chap, au hata kuchukua sheria inayofanana fanana na issue yako, kama hiyo ya magazeti inaweza ku apply mpaka kwenye mtandao.
Swali kubwa zaidi ni kwamba, kama servers haziko Tanzania je watakuwa na jurisdiction bila kushirikiana na nchi servers zilipo?
Mwanzoni umetuambia unajua hata ISP wake alikuwa anamu watch. Sasa hivi unatuambia umeongea na wakubwa na hawajamkamata. Pata hakika kabla ya ku vet taarifa humu. Habari ikiwa na jina lako inabeba uzito, wewe ni uso wa jamvi hili. Sasa funga thread hili na wajibika.
Nyepese zinasema jamaa wako au walikuwepo nyumbani kwao
UM, hujui tunajua nini... Simply acha tu.
GT & NN, nakaa kando na hii mada.
Malipo ya server alikuwa anafanya kwa credit card yake ya ukweli! Kaazi kwelikweli...
NN, mi sitaki kuongea zaidi... The guy wasn't smart to the extent I expected him to be. Pamoja na kuwa ni mtaalam wa IT lakini alipuuza wengi waliomwambia amechemsha kwa blogging style yake.
Anyway, najua akipata wakili mzuri anashinda kesi (endapo watamfungulia kesi). Ninachojua wataongea na 'mzee wao' amkanye kijana wake ili asichafue jina la familia yao 'kubwa'
UM, hujui tunajua nini... Simply acha tu.
GT & NN, nakaa kando na hii mada.
That is bull shit!lakini mbona walishakwenda nyumbani kwa DEDI yake zamani na mzee wa watu aiomba radhi on behalf of mwanae?
Bluray, we have this wild perception that the internet is such a free-do-what-you-want jungle... the truth of the matter in many cases this is inapplicable. It is a regulated world!! If the dude did whatever ambacho amekifanya on his own private network, then things could be different.
Last weekend nilikuwa namsikiliza yule jamaa Mrusi mwenye Karspesky kwenye Russia Today...daah, interpol ya kwenye internet ni big thing at the moment. As long as one respective government chooses to deal with an individual in another, kama nchi hiyo inaelewana na mle jamaa alikojificha then huyo mtu atatiwa hatiani.
On the other hand, just see the level of foolishness entailing this saga, jamaa hana servers zake nyumbani na si hivyo tu, bali anatumia credit zake pia...
He should have known where to draw limits on the contents posted on that once notorious site of his!
Labda sheria iliyofanikisha kulifungia MwanaHalisi itatumika...dunno!!!!!
That is bull shit!
... nakaa kando na hii mada.
Killuminati,Invisible acha uoga, say his name, mi nashangaa unahimiza watu na slogan ya JF where we dare to talk openly, mtaje mwanaizaya huyo.
hapa tuko pamoja mkuu,throughout posting zake and the manhunt he was threatened with i doubt kama angekuwa mzembemzembeNi vizuri umeelewa kwamba taarifa ikibebwa na jina lako inachukua uzito wa jamvi zima. Umewajibika kwa kukaa kwanza pembeni, ni vema.
Tungoje ukweli na udaku ujitenge, sidhani kama huyu Utamu ni jinga la kutumia credit card yenye jina lake kuposti picha za caricuture za matusi za rais Kikwete .
duh...naona hii thread ni ya wajuaji tu....everything is said in half sentences....kwa heri