Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Tupe deadline ya hili shindano wasije tuletea mamluki. .............
 
^^
Najitokeza humu,,kwa wana CC nikwa nimebebelea zawadi nzuri kwa CC lady mwenye avatar inayokubaliwa na wengi
Unajitokeza unataja jina Mi kazi yangu ni kuhesabu yule ataewazidi wote
Kampeni zinaruhusiwa na zawadi nitampa Baba V atampa mshindi.
TWENDE KAZI
^^


mimi hapa nimejitokeza
 
^^
Naam zoezi limeshika kasi,,kwa rekodi za sasa kampeni zimechukua nafasi kubwa sana kuliko kuja kupiga kura,,majina ya wagombea ni
Mentions 48 hadi sasa.
LAKINI KURA SITOI SASA,
Jitahidini pia kupiga kura,,msiwe mna shabikia tu pasina kuwapigia kura wagombea.
MUDA BADO UPO..
Zoezi hili litasitishwa rasmi saa 14:01/26/06/2013
ili kuwapa nafasi wanaotajwa waje wapige kura zao na kuepusha lawama.
Tafadhali
Waandishi wa habari na meneja wa kampeni
PM sitajibu mambo yote yawe hapa hadharani.
^^
 
Back
Top Bottom