Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

^^
Utaelewa we piga kura tu
^^

mie bidada lakini Avatar ya huyu Mrembo by Nature inanikoshaga sana
Kura yangu iende kwake
avatar40686_11.gif
 
Last edited by a moderator:
3 View attachment 99551 Jestina quality: a healthy feminine smile accentuated with long hair and a full chest



4 View attachment 99552 Mamndenyi quality: a confident feminine posture enhanced by a genuine friendly smile




5 View attachment 99553 ladyfurahia quality: 100% feminine appeal due to smooth skin. feminine preening and satisfied confident look

Haya wajamani nimefanya kazi kuwa rahisi kwa kuwawekeeni hizi avatar tano.
Naona sasa mnatuletea mamluki duh....
 
Muite kaka watu8 ampigie kura dada yake khaaa

Umemuahidi nn meneja wako akikuletea ushindi?" Hili swali nimeulizwa na watu wengi sana kwa pvt. ......eti umeniahidi nini tena vile?whisper
 
Last edited by a moderator:
Umemuahidi nn meneja wako akikuletea ushindi?" Hili swali nimeulizwa na watu wengi sana kwa pvt. ......eti umeniahidi nini tena vile?whisper

Hahaha meneja atapelekwa vakesheni kwa wiki mbili......wewe piga kazi tu
 
Back
Top Bottom