Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

mpaka hapa naona
unaongoza,hongerrrra!!

Asante sana, yani sikutegemea kabisa, kuvuka vigingi vyote vile? Chezeya wapambe wewe,wapambe wanajituma kumpigia mtu wao debe.....sasa ukitegemea kujipigia kampeni unadhani utafika wapi?shoga shukrani ziwaendee wapambe wangu popote walipo...unaambiwa usimsahau kumshukuru na anaekubeba

Nikimaliza kampeni nina safari ya Arusha ya kwenda kushukuru

CC Heaven on earth na Tonykp
 
Last edited by a moderator:

Ni kuambie kitu client. Wangu Mrembo by Nature unastahili hii nafasi kabisa hata wapinzani wanajua that's y wanajitokeza kimya kimya....pia imenipa moyo wakumsamehe dada yako Passion Lady japo ndoa ilishavunjika ila sitamsahau.....kwa mengi.......sasa tutafikiria maisha yetu mapya baada ya uchaguzi Mrembo by Nature
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom