Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Haah mbona hawaji sasa uwiiiiii nisiposhinda nahama mtaa, naenda jukwaa la siasaaaa
Talent question .........
Haah mbona hawaji sasa uwiiiiii nisiposhinda nahama mtaa, naenda jukwaa la siasaaaa
^^
basi itaitwa miss avatar,,nasubiri kura yako
^^
Natoa $100 kwa mshindi hili shindano kali.......SERIOUS
Haah mbona hawaji sasa uwiiiiii nisiposhinda nahama mtaa, naenda jukwaa la siasaaaa
Niafadhali turudi lile jukwaa la wakubwa. ......
yani wagombea wote mashost zangu
sa sijui nimchague yupi duuuh!!
acha nizip my mouth tu!!
yani wagombea wote mashost zangu
sa sijui nimchague yupi duuuh!!
acha nizip my mouth tu!!
Natoa $100 kwa mshindi hili shindano kali.......SERIOUS
Ushindi lazima, chezeya wapambe wewe......
Kule nilishaondoka, nimeokoka mie
lazima ushinde mamaa..!!!!!!!
Usisahau kitakrima kidogo mwaya.... Baada ya ushindi
Kwanza shkamoo,pili nashukuru sana kwa yote,tatu afadhali umejitokeza hapa,nne nimeku miss,tano nimekusamehe,sita mpigie kura Mrembo by Nature
yani wagombea wote mashost zangu
sa sijui nimchague yupi duuuh!!
acha nizip my mouth tu!!
yani Madame B shost na mke mwenzangu
Mrembo by Nature kila siku tunakutana gogoni
lady furahia tunaimba kwaya pamoja
staki kumpoteza hata mmoja nawapenda wote!!
kura kwa hao watatu Himidini pls!!
marahaba
nimewapigia kura
wagombea wote watatu!!