Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Atapelekwa au utaenda nae vakesheni kusherekea ushindi?Hahaha meneja atapelekwa vakesheni kwa wiki mbili......wewe piga kazi tu

Jipange zawadi nono bila shaka kutolewa
Eli79 njoo umpigie kura shost yangu hukuHeaven on earth asante sana kwa kura, nipigie kampeni ukishirikiana na team ya ushindi chini ya @Tonykp. Lazima mtapata mapozeo kama tukishinda
Mie sio mdau wa kijiwe hiki so count me out
dah hapa hapafai mtoa zawadi anawafanyia kampain watu wengine hapa hata hawapitaji ndo tunawaoa leo.
SIMPIGII KURA AVATAR YOYOTE
vizuri sana
Atapelekwa au utaenda nae vakesheni kusherekea ushindi?
Kiroho safi tu jameni msichukulie tofaut
Nikiwe nisingekuwa mgombea ningekupigia kura, avatar yako huwa naipenda as inaendana na the way unatoa comment zako hapa JF, ila ndo hivyo tena siwezi acha harusi yangu na kwenda kusherehekea ya kwa jirani

amu plssssss niko chini ya miguu yako, ninaomba kura yako?nipe takrima nkupigie kura
Hayo macho ya Mrembo by Nature na Heaven on earth yananifanya nishindwe kabisa.....siweeezi!