Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Najitokeza humu,,kwa wana CC nikwa nimebebelea zawadi nzuri kwa CC lady mwenye avatar inayokubaliwa na wengi
Unajitokeza unataja jina Mi kazi yangu ni kuhesabu yule ataewazidi wote
Kampeni zinaruhusiwa na zawadi nitampa Baba V atampa mshindi.
TWENDE KAZI
^^
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwe jaji tafadhali

^^
Hapana,,matokeo yatakuwa wazi kama demokrasia ya marekani,,tuna hesabu hapa hapa Tutajua nani ametajwa kuzidi wengine..hakuna uchakachuaji hapa
^^
 
^^
Hapana,,matokeo yatakuwa wazi kama demokrasia ya marekani,,tuna hesabu hapa hapa Tutajua nani ametajwa kuzidi wengine..hakuna uchakachuaji hapa
^^

mmmh naona unaninyima ulaji basi mi nitakusaidia kukupa matokeo ya watajwa
 
mmmh naona unaninyima ulaji basi mi nitakusaidia kukupa matokeo ya watajwa

^^
Ujue naendelea kuhesabu na matokeo kila mmoja atafanya reference,,Hii ina uhakika zaidi sio kama wewe na Madame B ukaguzi chumbani mpaka sasa bado mnachakachua matokeo
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom