Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Ukichakachuaaaaa hehehe utajuuuutraaaaaa
shost ukishachukua zawadi
utanikuta chimbo kama kawa!!
Ukichakachuaaaaa hehehe utajuuuutraaaaaa
Ushosti kazi kweli kweli, kura ujue hujapiga??na walishakuambia upigie mmoja ukajifanya kukausha, nilikuona sana
shost ukishachukua zawadi
utanikuta chimbo kama kawa!!
hivi ushapiga kura ww
pigia Rich woman avatar yenye msisismuo
Ushosti kazi kweli kweli, kura ujue hujapiga??na walishakuambia upigie mmoja ukajifanya kukausha, nilikuona sana
pacha shemejio ana wivu
nikishiriki anaweza jinyonga bure!!
shemejio Ruttashobolwa
atapiga kura kwa niaba yangu
mi leo naumwa hahaaa!!
shemejio Ruttashobolwa
atapiga kura kwa niaba yangu
mi leo naumwa hahaaa!!
usinikumbushe ya miss chit chat..
washiriki wote ni mabeste
kupiga kura wala sithubutu
nitampa yupi nimnyime yupi?akhuuu!!
nywele za bandia. ......haikubaliki
washiriki wote ni mabeste
kupiga kura wala sithubutu
nitampa yupi nimnyime yupi?akhuuu!!
acha hizo ww..
Au umekosa mbinu za kumpigia kampeni mgombea wako ukaona uanze kuniharibia...
duh sikujua mko mapacha