Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,935
- 31,666
Nielekeze Twitter (x) page inaitwaje?ipo tweeter imezagaa kama pishi la mchele
Natanguliza shukrani.
Nielekeze Twitter (x) page inaitwaje?ipo tweeter imezagaa kama pishi la mchele
Nenda Twitter,surch hildaNielekeze Twitter (x) page inaitwaje?
Natanguliza shukrani.
Madelu MajeneretaEti Za lameck? Anakoroma kama simba
Hahaha, Kuna Uzi umeandka masaa mache nyuma .Mlozi for life! Retired morgue attendant😎
Ndyo ,huu Uzi jamii forum wakifuta nitachukia sana,Tena sana.Si ndio huu mkuu🤷🏿♂
Masahihisho: Huyo ni baba (marehemu) hakuhusika, aliyehusika ni mtoto Adam Malima.Kighoma Malima Jr.. Hotelini Moro
mimi nilishaamua kuwa nikiwa bongo no hotel, no apartment, ni mwendo wa majanini na migombani tuNa HD hidden cameras za siri zipo kila mahali in disguise ya vitu vya kawaida ndani ya chumba
Ndio maana nikaandika K. M. JrMasahihisho: Huyo ni baba (marehemu) hakuhusika, aliyehusika ni mtoto Adam Malima.
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagu bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Hoteli yenyewe ndio hii hapa kama inavyoonekana
View attachment 48953
Hii hapa tena
View attachment 48954
kwa mlinzi getini
View attachment 48955...
- ndyoko
- Replies: 789
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ruksa kusimuliaUnajua wakati nasoma o level ,niliwah kuw kuwa Gs ( general secretary )
Kumbuka Kuna
Hp- head prefect
Gs- General secretary
Head boy
Na mengineyo
Kuna misusuko nilipitia
Ni story ya kijinga lakini tutaokota punje cyo mbaya..
huko cha kuogopa ni nge, tandu na nyoka vijana wa sasa akisogelea majani ujue ni mchunga ng’ombe, simu zao huwa wanasikilizia redio tu camera zimevunjika😂😂😂Wataku zoom🤣 tena huko ndio hatari kabisa🤣
Itakua.Siwaamini hawa wazee hata kidogo ni kama nilivyo mkataa Nchimbi.
Ishu yake yote naona ni mbinu ya CCM kumuuza kwa raia, itakuja siku utakuta wale wote ambao hawakushiriki uchaguzi 2025 Majariwa, Makamba na wengineo wakakaa upande wa Nchimbi ila mwisho wa siku wote walewale, chama kimoja ni uchezqji wa karata tu.
Ni maoni yangu binafsi kwasababu hata video bado sijaona ila hii October sarakasi zitakuwa nyingi, nahisi hii ni moja wapo
Ndiyo maana nimeandika acha yafarakaneHivi ni vita vya panzi
Kabisa mkuu,haya maccm hakuna haja kuyaonea huruma hata kidogo.Ndiyo maana nimeandika acha yafarakane