Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Niliwahi pigwa lk 2 .enzi hizo nipo Tabora
Yule malaya alinichia 52,000.dem mwenyewe niliokota oxygen Toka kipnd hicho .nipo makin kama CIA
Ulijipindua 😄

Ova
Kama kawaida,nilipga kamoja ,nikaenda kuoga kaapili nikasema ngoja kidogo ,ohoooo .🙆🙆🤔🙆
Ahhh dah ila lodge zingine au gesti asingetoka mpk kwanza waje wahahakikishe usalama ndani
Ndoman miaka ya nyuma namnani sinza walikuwa wana wateja sana maana mteja lzm apewe ulinzi

Mkuu huwezi Amin mlinzi alikuja akagonga akaniuliza aondoke nikamjibu ndyoo. Nilichogundus nilikuwa maji sana nilitika tuu kuepusha usumbufu
 
aliyevujisha sio wa kawaida

naamini kabisa 100%
kwa level ya njaa kitaani ukimpata mwigulu unajilia zako taaratibu bila bugudha
ni kuhakikisha tu unamchuna mpaka zile scaff
Its all about price tag! Watu wanafika bei.. Wengine wanapanda dau..!Wengine wanavuruga kabisa🙌🏿🤷🏿‍♂ Kwenye hii Dunia pesa ndio kila kitu!
 
aliyevujisha sio wa kawaida

naamini kabisa 100%
kwa level ya njaa kitaani ukimpata mwigulu unajilia zako taaratibu bila bugudha
ni kuhakikisha tu unamchuna mpaka zile scaff
Weweweweweee!!!! hao wana tabia chafu!!!!!
utakula utakunywa utaambulia laki5 na hapo wana mademu kama wote,, mpaka mzunguko wako ufike laki tano imeisha na unadaiwa kila kona na jamaa hapatikani kwenye cm mpaka yeye akutafute!!!!!

Bora hawa kina imma na kina devi,, wikiend utalishwa mi bia na kitimoto watoto wa watu watajitutumua hamna hamna ana ku bless laki+ ukilia vocha, gesi sijui mama kangatwa na nge mpesa itasoma.
 
Back
Top Bottom