Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Kulala na mtu anayekoroma ni vita ya usingizi na kelele za mkoromaji
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Mshana Jr unataka kuniambia ile video ni yeye kweli? Sio Ai?.. if so kama ni yeye basi huyo changudoa atakuwa ni mtu wa system au yupo kwenye payroll yao ili kumchafua asee
Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?

Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
 
Mkuu tayari ushaleta news, watu mko vizuri kwenye kuleta threads.

Habari za kuokoteza tu tayari unatoka alert kwamba mtu siku zake zinahesabika kama vile umefanya research ya kutosha vile kumbe ni video mbili tatu na hearsay za mtaani tu .
 
Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?

Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
Warning and wakeup call that we are still on your back❗
 
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗

Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗

Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗

Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga

Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗

Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗

Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿‍♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
1790951704442.png
 
Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?

Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
😂😂😂
 
mganga mkuu kwa kuwakusanya na kuwapiga kamba wafuata mkumbo, hujambo mpiga ramli wewe dah :pedroP:

na manyumbu yalivyo malofa yanafurahi na kuamini porojo za ushirikina wako kinyama yaan dah :pedroP:

Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?

Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
Yeah .. wa mulemule bungeni... Hapo nimekuelewa. Sema hiyo vita ya madaraka 2030 sijui itakuwaje kama Hali ndio hii.
 
Back
Top Bottom