Majenereata ameingia kwenye mfumo
Tuna shangazi yetu alikuwa Jasusi, msomi, kastaafu, kazaa hajaolewa, kazi yake ilikuwa kuwanasa wahujumu uchumi na wazinzi, ndio tulikubali alikuwa kwenye kazi ya kuwa "Honeytrap" viongozi wazinzi na mafisadi!Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Ana machaguo nawili.Tuna shangazi yetu alikuwa Jasusi, msomi, kastaafu, kazaa hajaolewa, kazi yake ilikuwa kuwanasa wahujumu uchumi na wazinzi, ndio tulikubali alikuwa kwenye kazi ya kuwa "Honeytrap" viongozi wazinzi na mafisadi!
Madilu naye kaingia kwenye 18 za honeytrapers wa kisasa!
Hatumuonei HURUMA KABISA KABISA KABISA!
😅😄😹😆😂🤣
Jamaa ni mamafia kabisa!Ana machaguo nawili.
1. Akaze fuvu.. Waachie full version.
2. Akomae na kuingia rasmi kwenye mapambano
MasikitikoTena kama ni kaka au dada yenu mkubwa inaumiza sana!
Hapo sifongo inatoka ama wanang'oa maini🤔Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili