leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,275
- 16,646
Hilda atunze kwanza !!!! asimalize silaha kwa mpigo'mi naona hilda asitoe zingine
ile imetosha
akianza kamdomo mara uzalendo fake chap anatupia!!!! si unaona jamaa alikuwa kimya sana.
Hilda atunze kwanza !!!! asimalize silaha kwa mpigo'mi naona hilda asitoe zingine
ile imetosha
Bora hawa kina imma na kina devi,, wikiend utalishwa mi bia na kitimoto watoto wa watu watajitutumua hamna hamna ana ku bless laki+ ukilia vocha, gesi sijui mama kangatwa na nge mpesa itasoma.😂😂😂Weweweweweee!!!! hao wana tabia chafu!!!!!
utakula utakunywa utaambulia laki5 na hapo wana mademu kama wote,, mpaka mzunguko wako ufike laki tano imeisha na unadaiwa kila kona na jamaa hapatikani kwenye cm mpaka yeye akutafute!!!!!
Bora hawa kina imma na kina devi,, wikiend utalishwa mi bia na kitimoto watoto wa watu watajitutumua hamna hamna ana ku bless laki+ ukilia vocha, gesi sijui mama kangatwa na nge mpesa itasoma.
Imma na devi umewa bold kabisa.Bora hawa kina imma na kina devi,, wikiend utalishwa mi bia na kitimoto watoto wa watu watajitutumua hamna hamna ana ku bless laki+ ukilia vocha, gesi sijui mama kangatwa na nge mpesa itasoma.😂😂😂
sanaaaHilda atunze kwanza !!!! asimalize silaha kwa mpigo'
akianza kamdomo mara uzalendo fake chap anatupia!!!! si unaona jamaa alikuwa kimya sana.
😄 pole mkuu kumbe ulikuwa bwaxMkuu huwezi Amin mlinzi alikuja akagonga akaniuliza aondoke nikamjibu ndyoo. Nilichogundus nilikuwa maji sana nilitika tuu kuepusha usumbufu
😄 🤣 😂 😆 😄sanaaa
hata kile kikao cha juzi alikua kama anaumwa hivi
inaonekana alishajua makinikia yapo nje
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂Hatimaye leo wamefikiwa😂🙌🏿🏃🏿
dah ila dunia haina hurumaIts all about price tag! Watu wanafika bei.. Wengine wanapanda dau..!Wengine wanavuruga kabisa🙌🏿🤷🏿♂ Kwenye hii Dunia pesa ndio kila kitu!
Daaah, Hilo ndo Mungu kaepusha.😄 pole mkuu kumbe ulikuwa bwax
Sasa naye angekurekodi
Alafu anakugeuza mtaji
Ova
Maana ungefanywa ngombe wa maziwa 😄Daaah, Hilo ndo Mungu kaepusha.