Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗

Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗

Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗

Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga

Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗

Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗

Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿‍♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Kwenye kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa huu mkoromo ndiyo tuuweke kuwa rington ya simu zetu
 
Review this back history
Kighoma Malima Jr.. Hotelini Moro
Dr. Slaa hotelini Dom
Humprey pole pole home Dom
Connection ya Gwajima
Ajali ya Chongolo
Kifo cha Membe...
Ajali ya Mwamba Dom nyumbani.. Nknk
 
Back
Top Bottom