Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Taja nyoka wote, ila Koboko pumbavu kabisa. Niliwahi kuingia chaka kumbe lina koboko mimi sijui, mbele kidogo mbele yangu pia kuna jamaa wawili wanatembe, nikasikia mlio wa kuku, kusikia vile wale jamaa jinsi walivyokurupuka nilishangaa bodaboda ikawa inaelekea uelekeo wao hata walivyoidandia na kuwa mshikaki sikuelewa najiuliza hawa jamaa ina maana wanakimbia kuku? Au pande hizi wana imani zao kuwa mlio huu ukisikika porini unaashiria jambo fulani baya. Nilipomaliza kujiuliza hivyo tu, nikaisikia sauti akilini ikiniambia “acha ufala, huyo ni Koboko”, nilikurupula, nadhani yule Kiboko akaamua kunipima upepo maana kila nikikata upepo namsikia analia kwenye majani just pembeni ya barabara, nikisema nisimamame nivute oumzi namsikia tena, analia prmbeni yangu. Nikasema asinitanie huyu, hajui kuwa Usain Bolt alikuwa mwanafunzi wangu. Nilikimbia kutoka mpaka nilipofika centre ya Rungwa ndiyo naona vipikipiki na vigari navyo vinaingia kutokea upande niliotoka. Siku hiyo sikulala hapo
hivi hizi habari ni za kweli mimi hua nadhani kabobo za mitaani
 
Lakini binti alijua kumuweka mkuu...😜
downloadfile-2.webp
downloadfile-2.webp
 
Kwaiyo mbioo za Katiba mpyaa zinasuburia kwanza watu wapate connection AI

Baadhi yenu ndio
mliwachochea Vijana wakafanye
Maandamano yasio ya kisheria

Watoto wamekufa nyinyi watu wazima mnaangaika na Connection Fake

Kweli Chadema yasasa ni OOO

Siku ya kumfunga Mwenyekiti wenu t
Tatawaangushia
AI ya Mzee Wasira
Sijui iyo siku mtaamia wapi 😀
 
Back
Top Bottom