Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndyoko, Mar 9, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

  Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

  Manjagu bado yanafuatilia issue hii nzima!

  Source: Radio One, muda 13:14 pm

  Hoteli yenyewe ndio hii hapa kama inavyoonekana

  View attachment 48953

  Hii hapa tena

  View attachment 48954

  kwa mlinzi getini

  View attachment 48955

  [​IMG]mbona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? au sio lenyewe??? nimeitoa kwa michuzi loh
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Radio One inaripoti hivi sasa ya kuwa Naibu Waziri wa Nishati kaibiwa kila kitu katika hoteli aliyolala pale Morogoro mjini..........barabara ya kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa................yaelekea kaibiwa na mtu aliyokuwa naye kwa maoni yangu........labda chapa mtu aliyekuwa akimpa maraha..................lol
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  atakuwa alikuwa nakiburudisho cha chap chap hehehe na bado tutagawana sana vya kwenu
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tumesikia anadaiwa kwa mganga mmoja wa kienyeji ndiye aliyechora deal!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ni breaking newz radio one,zimeeleza kuwa naibu waziri Nishati na Madini Adam malima Ameibwa kila kitu Hotelini morogoro.mwenye niuz zaidi atujuze
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Huyu atakuwa alikuwa anafukua mtu akachoka kwa kazi nzito hiyo nakupiga usingizi wa pono
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Naskia ana mke mdogo morogoro,ni haki yake iyo.
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Atakuwa amekamata kichwa KAUMBA.....
  acha aibiwe tu ngoja niende eneo la tukio kama bado yupo sasa hivi
   
 10. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bora wachukue mali zetu tu,lakin pole sana
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Habari nilizozisikia mwenyewe toka Radio One Stereo ni kwamba Naibu Waziri wa Nishati na Madini Ally Malima, ameibiwa kila kitu katika hoteli moja huko Morogoro.
  Taarifa zinasema kuwa hata nguo alizovaa sasa amekirimiwa na Wasamaria. Habari hizi zimethibitishwa na Meneja wa Hoteli hiyo Eustace Mutua, ambaye ni Mkenya.

  Taarifa zaidi zinaeleza kuwa WanaUsalama wa Morogoro wako, ikiwa ni pamoja na Afisa Upelelezi wa mkoa wameonekana wakitoka na kuingia katika Hoteli aliyofikia Naibu Waziri huyo, huku Ally Malima mwenyewe akiwa hajatokeza nje ya hoteli hiyo tokea alipoingia, na tokea mkasa huo ulipompata.

  Naamini tutapata maendeleo zaidi ya tukio hili kwa jinsi muda unavyosogea, na huenda kukawa na menbers kwenye eneo la tukio.

  Source: Breaking News saa 7 mchana Redio One Stereo!
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Malaya wa Kaumba atakuwa kamwibia
   
 13. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 886
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Adam Malima ni yule anayeongea na kithembe? Anayesemaga kuwa JD yake haina mahali inazungumzia swala la kujiuzulu?

  Kama ni huyo, nashindwa kuona huruma
   
 14. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,818
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  kuna usemi unasema
  "when the poor we have nothn left to eat,we will eat the rich"
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Vipi hajalowa nyuma au?
   
 16. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijui atajiteteaje kwa mkewe akirudi nyumbani kwake. ....anadai kaibiwa, kwani kuna mlango au dirisha la chumba alicholala lililovunjwa?! Hajaibiwa huyo, ni kiburudisho kimeamua kujilipa gharama tu...anyooshe maelezo, utaibiwaje hadi nguo za ndani ulizovaa??
   
 17. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahahahaha! naona utaaaaaaaaaaamu! suddy Brown uko wap?
   
 18. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chezea moro yeye?
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Huyo mdada ana akili sana, kuiba NO! kukomoa yes
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
   
Loading...