LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,614
- 47,048
weak matal replaced by strong metal, mafia wanaoneshana umwambaSasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?
Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.