Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Nakwambia jaribu uene! Ingia House of Wine kunywa bia 3 halafu zungusha round mbili, halafu nenda QX baa na Boogaloo fanya hivyohivyo kama ulivyofanya hapo house of Wine kesho rudi House of Wine kama hawajakuita KIFARU! Huo ndio mji wa Arusha! Demu ukishamchomea nyama nusu kilo na bia tatu lazima akuzalie mtoto!

Jombaa angalia utakula kisu. Wa-Arachuga wako kibao wanaweza hata kuchoma Avatar!!
 
Ha ha ha Lara 1 naona mada imehama ila ukweli Arusha watu ni washamba kweli, Arusha inajina kubwa sana kuliko ilivyo kiuhalisia... Nilienda kwa jamaa mmoja kila siku story za kwao A town sijui njiro yaani nimefika hapo njiro anapopaongelea daily ni kama Tabata segerea tu au kinyerezi, yaani kule nyumba ikiwa na geti tu na ka corolla unaonekana upo tofauti wakati bongo ndo normal life...

Halafu unapochoka hao watu wanaozungumziwa A town sijui ndo Sambeke sijui Mawalla yaani mimi wenyewe nimewajua juzi baada ya kufa kwa kusoma news zao jamii forums,,

Tukatae tukubali Bongo hadi umeki headlines lazima uwe Levo za kina Thabeet maana ma CEO wote wa kampuni kubwa wanaishi hapa, Makatibu wakuu, mawaziri, Raisi, Marubani wa ndege sijui, Wafanyabiashara wakubwa ile Listi ya Forbes magazine wapo hapa,, bila kusahau wale Head of Department, Senior managers wa kampuni kubwa zote Wapo dar so Hadi uwasumbue watu wakuongeleee lazima uwe na kitu cha ziada,,

Halafu vile vile watoto wa Dar wanatembea sana, hasa hasa wakimaliza form Six matokeo yakija vibaya wanakwea pipa kwa fujo na Baada ya muda wanarudi wapo full exposed kiasi kwamba huwatishi kizembe zembe kwa kuwanunulia bia bar kama watu wa Arusha walivyo,,

Mnisamee wana Apollo lakini kiukweli Arusha bado sana, hata Dar bado sana lakini Arusha ni bado sanaaaaaaaaaaaaaaaa

Hili la Njiro kama Tabata Segerea au Kinyerezi mimi sijui,..ila hili la bia halina ukweli kote i.e si Arusha ama Dar inategemea ni wanawake wa aina gani unaowalenga (wale kwa macheni,kimboka,kwa sokota and the like ama wale wa jolly sijui wepi..?).

Ila kidogo umeongea kwa kubalance hivyo sikupingi sana,...ila wademu wa dar kama unataka kuwa_win wewe wanunulie chips kuku tu baaaaaasi...(joke...!)
 
kama ni watu wenye sifa za kijinga basi ni dar na mwanza,

Chifu, sisi watu wa Mwanza hatuna maneno mengi aisee. Sasa sifa zetu zinapatikana katika kutunisha akaunti zetu za benki tu.

Hivi hujasikia sisi watu wa Mwanza ni kawaida kudeposit mfululizo miaka 10 bila ya kuwithdraw? Tunafanya sana hivyo; siku tukienda kutoa, hadi tunatunukiwa zawadi na benki!!!

Njoo ushuhudie watu wa Mwanza tunavyofanya mambo ya kutisha kimyakimya....utakimbia.

Ni ukweli husiopingika mafogo wa Arusha wana sifa za kishamba.
 
Ha ha ha Lara 1 naona mada imehama ila ukweli Arusha watu ni washamba kweli, Arusha inajina kubwa sana kuliko ilivyo kiuhalisia... Nilienda kwa jamaa mmoja kila siku story za kwao A town sijui njiro yaani nimefika hapo njiro anapopaongelea daily ni kama Tabata segerea tu au kinyerezi, yaani kule nyumba ikiwa na geti tu na ka corolla unaonekana upo tofauti wakati bongo ndo normal life...

Halafu unapochoka hao watu wanaozungumziwa A town sijui ndo Sambeke sijui Mawalla yaani mimi wenyewe nimewajua juzi baada ya kufa kwa kusoma news zao jamii forums,,

Tukatae tukubali Bongo hadi umeki headlines lazima uwe Levo za kina Thabeet maana ma CEO wote wa kampuni kubwa wanaishi hapa, Makatibu wakuu, mawaziri, Raisi, Marubani wa ndege sijui, Wafanyabiashara wakubwa ile Listi ya Forbes magazine wapo hapa,, bila kusahau wale Head of Department, Senior managers wa kampuni kubwa zote Wapo dar so Hadi uwasumbue watu wakuongeleee lazima uwe na kitu cha ziada,,

Halafu vile vile watoto wa Dar wanatembea sana, hasa hasa wakimaliza form Six matokeo yakija vibaya wanakwea pipa kwa fujo na Baada ya muda wanarudi wapo full exposed kiasi kwamba huwatishi kizembe zembe kwa kuwanunulia bia bar kama watu wa Arusha walivyo,,

Mnisamee wana Apollo lakini kiukweli Arusha bado sana, hata Dar bado sana lakini Arusha ni bado sanaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahaha!! Machozi ya furaha yananibubujika,,hahahahahaha Tell them brother tell them.Dar hakuna Muda wa kujuana,,Ubishoo ni chumbani kwa mke wako
 
Elisante sidhani kama ni muarusha....well.....yupo sana......tu.....kawa mtu mzima siku hizi.....
Baba yake ni Mnyakyusa,akiitwa Stanley Mwanda,alifariki kwenye ajali ya gari.
 
ahahahahahahahahaaaaaaaa_sijui,..wewe unajua NGATELO...mmmmmh?

Kwa faida yako wewe unayejiita kuja kutembea Dar kabla ya FM yaani kipindi cha AM. EKARUSI ni aina ya usafiri tulio kuwa tunautumia. Mabasi yalikuwa yanamilikiwa na kampuni ya UDA.
 
Nadhani umebugi hapa . Utakuwa unamsemea baba yake . Umesoma na dada yake yupi Herieth ama nani ? Jamaa yupo mjini sana tu namwonaga akiendesha ford ranger ya silver ila yale makeke yake yameisha . Mawe yamegoma kutoka kwenye mgodi wao hadi aende naijeria au india lol.

herieth yes
 
Kwa faida yako wewe unayejiita kuja kutembea Dar kabla ya FM yaani kipindi cha AM. EKARUSI ni aina ya usafiri tulio kuwa tunautumia. Mabasi yalikuwa yanamilikiwa na kampuni ya UDA.
Mkuu usijisifu sana,Dar mmeanza kuona tv miaka ya tisini Mengi alivyowawekea bure pale Mnazi mmoja.

Kuhusu pesa ya Mererani kama hujui uliza usiropoke tu.
 
Mimi nitakuwa hakimu wenu.
Da;r.wa kwa macheni sijui wapi na wapi wanauza sh ngapi?
Chuga;.wa picnick na pin point wanauza sh ngapi?
Dar;.ni tajiri gani anamiliki ndege na anaiendesha mwenyewe?
Chuga;.ni wangapi wanauwawa bar kwa sababu ya malaya?
Dar; chumba kimoja self ni sh ngapi?
Chuga;.chumba kama hicho ni sh ngapi?
Dar;.magari ya wajanja wa mjini ni yapi?
Chuga;.ukiacha subaru forester mnapendelea magari yepi?
Dar;.hivi kama si mji mkuu na mashuhuri unatumia hela za watanzania wote ungekuwa mji wa namna gani?
Chuga;.hivi kama si mbiga za wanyama na tanzanite ungekuwaje?

Wote; hivi kati ya wazaramo na wameru wepi wajanja?
 
Nakwambia jaribu uone! Ingia House of Wine kunywa bia 3 halafu zungusha round mbili, halafu nenda QX baa na Boogaloo fanya hivyohivyo kama ulivyofanya hapo house of Wine kesho rudi House of Wine kama hawajakuita KIFARU! Huo ndio mji wa Arusha! Demu ukishamchomea nyama nusu kilo na bia tatu lazima akuzalie mtoto!

Tatizo la mji wa Arusha ukishakua na vijisenti vya kuzungusha round ya bia na kula nyama Choma eti wewe ni mfanyabiashara maarufu! mimi nachoka sana jamani:frusty:
Acha uongo mkuu haikusaidii lolote.Kuzungusha raundi ukiitwa tajiri huko bar haina maana kwamba unajulikana wewe ni tajiri,acha ushamba bana.

Na hao mademu wa nusu kilo hilo linawezekana,ni kwa levels,heck kuna wanaoonga samaki wa kukaanga,machungwa nk?

Tumia akili,kama hujui nyamaza usome,ama uliza maswali,ukishindwa baki tu na Mungu wako na kanisa lako.
 
Hapo sasa. Halafu hao "wafanyabiashara maarufu" wakifa kishangilio kinabadilika na kuwa: "Bilionea maarufu" .

Mkuu na mimi nimeshangaa sana aisee!Eti sijui Mawala kafa watu ooh Bilionea kafariki, sijui babu Sambeke juzi tena ooh Bilionea kafa.Hivi hawa watu wanajua maana ya Bilionea au ni umburula tu ndiyo unaowasumbua? Sijawahi hata kufika Arusha lakini watu wanavyosema ushamba umewazidi naanza kuwaamini.
 
Umenisoma vizuri. Haya majitu Bhana, washamba sana. Mara kawamaliza watoto wa mawenzi, mara alisababisha nani na nani wa weruweru wafe. Sasa hizi ni sifa au akili finyu. Madada zao ndio usiseme, wanajifanya wapo kipesa zaidi. Ila kwa sisi wa Dar awajaribu sababu still washamba wapo kilometa 2000 nyuma, wanawaweza hao hao mapimbi wenzao
Watu tupo na pesa zetu za kutosha. Familia zetu ndio zinazo fahamu.
hamna wanaume washamba kama wa dar? mzaramo ana akili gani
 
Hivi dar kama sio umekuwa makao makuu kungekuwa na ujanja kweli ??? Bado naamini Arusha na kilmanjaro ni kwa wajanja .
 
Mkuu na mimi nimeshangaa sana aisee!Eti sijui Mawala kafa watu ooh Bilionea kafariki, sijui babu Sambeke juzi tena ooh Bilionea kafa.Hivi hawa watu wanajua maana ya Bilionea au ni umburula tu ndiyo unaowasumbua? Sijawahi hata kufika Arusha lakini watu wanavyosema ushamba umewazidi naanza kuwaamini.
Ndio ushangae hapo mkuu. Siku hizi Kila anayekufa huko Arusha au Moshi eti ni Bilionea. Halafu, hawa watu wanaoitwa mabilionea hata kwenye list ya matajiri Tanzania hawapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom