duh,
naona sasa mada imehama nna naona ni mpambano ni kati ya wajanja wa Dar na Arusha town, 'ati nani mjanja?'
Sijui lakini haoa naona lazima apatikane mshindi
Lol!
Ha ha ha Lara 1 naona mada imehama ila ukweli Arusha watu ni washamba kweli, Arusha inajina kubwa sana kuliko ilivyo kiuhalisia... Nilienda kwa jamaa mmoja kila siku story za kwao A town sijui njiro yaani nimefika hapo njiro anapopaongelea daily ni kama Tabata segerea tu au kinyerezi, yaani kule nyumba ikiwa na geti tu na ka corolla unaonekana upo tofauti wakati bongo ndo normal life...
Halafu unapochoka hao watu wanaozungumziwa A town sijui ndo Sambeke sijui Mawalla yaani mimi wenyewe nimewajua juzi baada ya kufa kwa kusoma news zao jamii forums,,
Tukatae tukubali Bongo hadi umeki headlines lazima uwe Levo za kina Thabeet maana ma CEO wote wa kampuni kubwa wanaishi hapa, Makatibu wakuu, mawaziri, Raisi, Marubani wa ndege sijui, Wafanyabiashara wakubwa ile Listi ya Forbes magazine wapo hapa,, bila kusahau wale Head of Department, Senior managers wa kampuni kubwa zote Wapo dar so Hadi uwasumbue watu wakuongeleee lazima uwe na kitu cha ziada,,
Halafu vile vile watoto wa Dar wanatembea sana, hasa hasa wakimaliza form Six matokeo yakija vibaya wanakwea pipa kwa fujo na Baada ya muda wanarudi wapo full exposed kiasi kwamba huwatishi kizembe zembe kwa kuwanunulia bia bar kama watu wa Arusha walivyo,,
Mnisamee wana Apollo lakini kiukweli Arusha bado sana, hata Dar bado sana lakini Arusha ni bado sanaaaaaaaaaaaaaaaa