Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 368
- 735
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi.
Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho mama alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi, kwa kweli tulipitia kipindi kigumu cha uchumi.
Kutokana na maisha niliyopitia kitu ambacho nilitokea kukochukia ni umaskini, niliona umaskini hauna faida yoyote na kuwa maskini utadharaurika na kila
Maisha yalisogea kwa neema za Mungu miaka ikienda, binafsi nilijitahidi kusoma vitabu mbalimbali vya kuondokana na umaskini
Aidha niliendelea kufuatilia ni tabia gani ni chanzo cha umaskini , na nikaamua kuzihepuka hizo tabia.
Tabia ambayo niliifatilia kwa miaka mingi kwa kusoma na kufuatilia maisha ya watu , na nikabaini ni tabia ambazo ukizifuata kuwa maskini ni fungu lako.
Tabia ya kwanza ni kuwa na wanawake wengi, katika familia yetu miongoni mwa ndugu yangu wakiume yeye alichagua maisha ya kupambana mara baada ya kumaliza kidato cha nne
Miaka hiyo ya 90s bado elimu ya kidato cha nne kulikuwa na nafasi ya kupata ajira sekta binafsi
Ndugu yangu huyu alifanikiwa kupata kazi katika makambuni mbalimbali ya wazungu ba katika kipindi chote cha zaidi ya miaka 20 alifanya kazi na kufanikiwa kupata fedha nyingi sana
Nakumbuka mara baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari, nilimwomba nije Dar es Saalama wakati nasubiri matokeo angalau nijifunze computer na mambo mengine
Nikiwa Dar es Saalama nilishuhudia jinsi Mungu alivyombariki ndugu yangu huyu kwa pesa, kipindi kile alikuwa na uwezo wa kurudi na dollar 300 kwa siku, kutoka katika kazi zake
Pamoja na kupata fedha zote hizo, fedha nyingi alikuwa anazimalizia katika maeneo wanawake na pombe
Ndugu yangu huyu alikuwa na wanawake hadi nikawa nafanya najiuuliza hivi anatafuta nini kwa wanawake ?
Siku moja nilifanikiwa kupitia album ya picha za wanawake aliokuwa nao, nilishangaa sana maana walikuwa ni wakina haina wembaba, wanene, wafupi, warefu , weusi na weupe nk
Moyoni nijiuliza nini maana ya kuwa na wanawake wote hawa, na bado mtu hauridhiki
Kipindi kile nilikuwa kijana mdogo na ukizingatia umri wangu na ndugu yangu ulikuwa ni mkubwa hivyo sikuweza hata kumshauri chochote
Miaka ilisogea, na kama waswahili wanavyosema pesa haziji mara mbili, ndugu yangu huyu ilifika mahali hana hata kodi ya kulipia pango
Kuna kitu nilijifunza kwenye bibilia katika eneo hili
Umalaya ni mlango wa kukupeleka kua mwitaji
Nilijifunza ili niweze kufanikiwa ni muhimu kujihepusha na wanawake, na niliona wale ambao walikuwa wanajishughulisha na wanawake walijikwaa katika safari
Inawezekana jambo hili lisionekana mapema ila fanya utafiti, usiangalie mwanzo wa kitu angalia mwisho wa kitu
Ndugu yangu huyu alifika Dar es Saalama miaka ya 2000s lakini hata kiwanja hakununua, wale ambao walikuwa chini yake kazini walijenga walikuwa na maisha lakini yeye alikwama