Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

elisante stanley mwanda alikufa long time alipata ajali ya gar alikuwa mzinz laana nimesoma na dadake na msban nlienda

Elisante nimeonanana nae mara mwisho mwaka 2011 dec Arusha. Amekuwa mtu mzima sana. Habari ya kifo chake sijaipata.
Nakumbuka enzi anasoma Ilboru alikuwa anasumbua sana akiwa yeye na mtoto wa komandoo wa zanzibar
 
Hahahaha... Watoto wa dar hamna kitu maneno mengi , usanii mwingi , usharobaro kutosha . Hamna kitu kabisa.

Watoto wa dsm bado,kutan na broker ananuka vumbi lakini umatemate mfukoni upo wa kutosha,dsm waswaili sana, kibatari kinakuwa chemli
 
Omba mwongozo kwa mods tafadhali!

Arusha aka chugga aka R-mawe aka jambakolo Citeee!! Ukisema iyo Citee ukiiitaja vizuri maa-ni-naaa ni lazma vimate mate vitoke na jicho ulitoe kuashiria ugumu! Mimi niko chugga lakini nakwambia amna ndezi anaeza sema kitu yeooote apa ya eti anatokea Dar na anajitia janjaroo! Watu tumevunga tu tunawasoma nyendo zenu zakitoto lakni sisi ndo ma Top kila kitu! Amna kitu tunashindwa fanya nyie mnachokiona kwenu ni kwere kiasi cha kuona watu wengine mapimbi atwezi jua wala kufanya,tunaeza kila kitu especially ubabillon waina yeyote ile mapimbi nyie,atusubirii kutafuniwa sisi wenyewe nikila kitu

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Elisante stanley mwanda yupo arusha anaishi moshono, ameoa na ametulia sana pia hana makeke. Sasa hivi ameokoka anasali kanisa la calvary kijenge mwanama karibia na kiwanda cha banana wine. Hata jana alikuwa kanisani tena kuna rafiki yake wa mawe anaitwa francis alitoa ushuhuda jinsi jamaa yao mwengine juma alivyouwawa this april katika biashara ya mawe.

Elisante hajafulia kivile ila amekubali utu uzima na ndio maana hata ameamua kumrudia bwana.

kama ndio hivi basi vizuri, maisha ya ujana wake ni ushuhuda tosha...
 
Watu wa Arusha bado wapo nyuma sana mpaka leo. Ujanja wao wa kishambashamba. Misifa ya kimangi meza, Yaani nyinyi watu wa Arusha Form Four sisi wa Dar sio form six tena. Dar chuo kikuu.
Mara mchomane visu, mara mlane viboga. Mabwege nyinyi

Taratibu namaneno yako mkuu
 
Nimeskull nae Ilboru...nikiwa form 3 alikuwa form 1....Kijana bitoz sana hata alipokuwa shulee...mali ya baba ilimpeleka puta yule chalii...Akaona haiishi hata siku moja.
 
Ni pm. Nikukaribishe Bongo Dar es Salaam. Uje uone watu wanavyotafuta pesa kila siku na starehe kila siku. Umjui nani ana pesa nyingi nani anapesa chache. Watu kimya kimya, misifa ya kijinga hamna. Dully Sykes kama uliamini wewe mshamba kama nyinyi watu wa Arusha maisha yenu ya kama watu wazamani. Washaaammmbbaa!!!!!!!!!

kwamtoro nimepapenda hapa 'watu kilasiku wanatafuta hela na starehe kilasiku humjui nan ana pesa nyingi nan ana pesa chache'..uo ni ukwel mtupu yan hujapepesa macho..hii ndo Daaaa
 
Ni kweli aliliwa kiboga na Babu mwenyewe pia alishiriki lakini ni mzoefu hata huko nyuma pia aliliwaga kiboga tena na kina chonjo.

Na hyo ndo habari kamili,alitembea na mke wa mtu,wanaume wakala kisamvu cha kopo,na ndo akawa mpole moja kwa moja,na amekonda sana,ila ameanza kunenepa na hapendi kuonekana onekana hadharani!
 
Ni kweli aliliwa kiboga na Babu mwenyewe pia alishiriki lakini ni mzoefu hata huko nyuma pia aliliwaga kiboga tena na kina chonjo.

Na hyo ndo habari kamili,alitembea na mke wa mtu,wanaume wakala kisamvu cha kopo,na ndo akawa mpole moja kwa moja,na amekonda sana,ila ameanza kunenepa na hapendi kuonekana onekana hadharani!
 
Wewe ni mjinga kama sio mbumbumbu,..kwani wanaoandika kwenye magazeti wako wapi kama sio dar,..halafu sehemu haujawahi fika unavimba shingo eti washamba unajuaje,....nyie vijana wa tandika mna matatizo sana...pumbafuuuiu


Magazeti yapo Dar sikatai laakini waandishi wa habari ni mburura wa Arusha kama wewe, Bora mimi wa Tandika kuliko wewe mshamba wa Arusha.
 
huyu elisante alikuwa ana ujanja wake wa kiarusha ni wa kipimbi sana!aliingia madebeni dar es salaam mjini akataka dj azime mziki ili aimbe!!zoezi halikufanikiwa kwani wazungu wa unga wa ilala na migomigo wakati huo walimtoa sana nishai kwa kutaka kuleta uarusha ndani ya dar es salaam.....
Hakusimamisha mziki ili aimbe,alisimamisha mziki ili afungue champaign,acha uongo.

Uliza kina Kinje na Omari Kimbau watakwambia habari zake.
 
Back
Top Bottom