Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

....Ha ha ha mnanikumbusha jamaa yangu toka Dar alikuja A town nikazamanaye pikinik kama kawa nikamshushia kontena la buruarizim.... kudaadeki siku nakwenda dar kuchukuwa visa ha ha ha jamaa kazima simu(kaingia mitini) kwa akiliyake fupi alizani ni zamu yake kushusha kontena kumbe mimi nilikuja na kontena tatu !!!!

...kwa mambo ya buruarizimu A town sio wachoyo ila Ndugu zangu wazaramo perepere nyingi sana....

...wapi na wapi madafu na madini (nakupiga za uso)

...tahadhari masifa ya A town ukiyapesti dar unaweza ukagegeda kamtaa kazima...
 
kwa wazaramo tu:

.....mko radhi kujazana barabarani kisa kumwona supastaa anapita ili mradi tu anatamba kwenye magazeti ya udaku.....

...vipi mdundiko na ngombesugu bado mnajirusha...
 
Yaani wewe ndio boya kweli kwani dar hawachomani visu,viboga(muulize dully sykes) and co....pumbafu_sijui wewe dar unaionaje,..au ndio umefika mwaka 2010 ulipojiunga na Jf,..wewe unafikiri dar ndio ulimwengu_wa kuja wewe,....dar kwenyewe ulikuja ulipojiunga UDSM...ACHA USHAMBA MBWIGA WEWE..!
Hebu mwambie huyo chalii eroo! Ameniboa ki K!!
 
....Ha ha ha mnanikumbusha jamaa yangu toka Dar alikuja A town nikazamanaye pikinik kama kawa nikamshushia kontena la buruarizim.... kudaadeki siku nakwenda dar kuchukuwa visa ha ha ha jamaa kazima simu(kaingia mitini) kwa akiliyake fupi alizani ni zamu yake kushusha kontena kumbe mimi nilikuja na kontena tatu !!!!

...kwa mambo ya buruarizimu A town sio wachoyo ila Ndugu zangu wazaramo perepere nyingi sana....

...wapi na wapi madafu na madini (nakupiga za uso)

...tahadhari masifa ya A town ukiyapesti dar unaweza ukagegeda kamtaa kazima...

Hahahaha... Watoto wa dar hamna kitu maneno mengi , usanii mwingi , usharobaro kutosha . Hamna kitu kabisa.
 
hii thread nivyoicha mchana sikutegemea ingekuwa hivi.
ukweli niliouna arusha wiki moja iliyopita ni kuwa idadi ya magari mabovu na ya bei rahisi mjini ni machache saaaana.
 
hii thread nivyoicha mchana sikutegemea ingekuwa hivi.
ukweli niliouna arusha wiki moja iliyopita ni kuwa idadi ya magari mabovu na ya bei rahisi mjini ni machache saaaana.
Mi nashangaa watu wanaanza ligi kati ya Dar na Arusha....lol! Hata Dar waisifu vipi.... Chugga ndo home!......mtu unaiponda Arusha so kama ni mbaya kinachowauma ni nn??
 
Hahahaha... Watoto wa dar hamna kitu maneno mengi , usanii mwingi , usharobaro kutosha . Hamna kitu kabisa.

tena masharobaro wenyewe wanavaaa suruali za kike halafu wanaziita modal. wakati arachuga wameanzabkupiga bob style( jeans za kiume za kubana kama alizokuwa anapiga bobmarley) kitaaambo enzi hizo na buti kubwa,leo dar ndio wamekomaa na modal na roll modal wao ni huyo dimond
 
Ha ha ha Lara 1 naona mada imehama ila ukweli Arusha watu ni washamba kweli, Arusha inajina kubwa sana kuliko ilivyo kiuhalisia... Nilienda kwa jamaa mmoja kila siku story za kwao A town sijui njiro yaani nimefika hapo njiro anapopaongelea daily ni kama Tabata segerea tu au kinyerezi, yaani kule nyumba ikiwa na geti tu na ka corolla unaonekana upo tofauti wakati bongo ndo normal life...

Halafu unapochoka hao watu wanaozungumziwa A town sijui ndo Sambeke sijui Mawalla yaani mimi wenyewe nimewajua juzi baada ya kufa kwa kusoma news zao jamii forums,,

Tukatae tukubali Bongo hadi umeki headlines lazima uwe Levo za kina Thabeet maana ma CEO wote wa kampuni kubwa wanaishi hapa, Makatibu wakuu, mawaziri, Raisi, Marubani wa ndege sijui, Wafanyabiashara wakubwa ile Listi ya Forbes magazine wapo hapa,, bila kusahau wale Head of Department, Senior managers wa kampuni kubwa zote Wapo dar so Hadi uwasumbue watu wakuongeleee lazima uwe na kitu cha ziada,,

Halafu vile vile watoto wa Dar wanatembea sana, hasa hasa wakimaliza form Six matokeo yakija vibaya wanakwea pipa kwa fujo na Baada ya muda wanarudi wapo full exposed kiasi kwamba huwatishi kizembe zembe kwa kuwanunulia bia bar kama watu wa Arusha walivyo,,

Mnisamee wana Apollo lakini kiukweli Arusha bado sana, hata Dar bado sana lakini Arusha ni bado sanaaaaaaaaaaaaaaaa

Ara chuga wapo nyuma sana bado kimawazo na kipesa kama sasa ndio hali mbaya baada ya wasauz kubana kila kona merarani a.k.a ZAIRE, tatizo pale mtu ukiwa na XLR 250 yan ww nikifaru mbaaaayaa yani. Nazan nimesomeka ariiif wangu.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Watu wa arusha ni wakuja saaana halafu wanajiona wanajua kilakitu.juzi hapo nakutana na ----- mmoja wa huko kanijia kwa taharuki"aisee umesikia bob sambeke kafa".ikabidi nimuulize huyo ni nani?muimba bongo fleva?bondia?ama kinyozi?jamaa akashika kichwa na kuondoka hakuaga
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho, lazima watu wajifunze hili, tanua sana lakini kuna mwisho wako............sasa ni uamuzi wako kuamua umalize vizuri au vibaya
 
Hao wa kwa macheni na kimboka wengi ni watoto wa kiarusha,kiukweli moshi na arusha wana ujanja wa kizamani sana,lakini ninachowapendea wanashoboka sana na watu wa Dar,muarusha akishajua wewe ni mtoto wa mjini I mean Dar ambapo wenyewe mpaka kesho wanaiita Dar bongo atakuganda muwe marafiki na kukupitisha kila kijiwe arusha nzima akijitapa Ana marafiki Mpaka bongo na huwa wanapenda watu wa Dar wanavyoongea kiswahili,I mean accent,ukiongea tu atakuuliza unatoka bongo nini chalii angu,hivyo ndivyo waarusha a.k.a.wanaapolo walivyo,inaelekea watachukua muda mrefu sana kuendelea
 
Namkumbuka kwa kusababisha ajali ya gari iliyoondoa uhai wa suzy na linda mwaka 1995,meen it was bad!!

Kwakweli hii ajali iliumiza miyo ya watu mno. . Watoto wa watu wakafariki yeye anaendelea kudunda. R.I.P Linda and Suzy.
 
Kwanza baby sambeke yupi ?ni yule alikuaga pale moshi akifanya vitendo vya kishamba kuchukua wanawake kinguvu na ujinga mwingine wa kuendesha magari kwa fujo mjini?ndio huyu ambae kaangusha ndege,alijifunzia wapi kuendesha ndege huyu
 
Hahahaha!! Mkuu umeniacha hoi sana,,Mimi nashangaa mara oooh fulani mjanja wa Arusha enzi hizo alitesa sana sijui kwamtoro ndugu yangu na sisi tukianza kuwataja wajanja wetu wa Dar wa enzi hizo patatosha humu ndani?Kwanza kila mtu/kijana aliyezaliwa Dar nimjanja na ni vigumu sana kutambua hiyo kitu.Ni upimbi tu na ulimbukeni jitu limeishia darasa la pili kabahatika kumiliki vimigodi akipata jiwe akiingia mjini Maskini wote watamkoma siku hiyo,nimesema masikini kwa sababu siku zote maskini ndio wako na viherehere vya kujifanya wanafuatilia/kuyajua maisha ya watu.Eti fulani alikuwa anakamata totozz kwa kwenda mbele.....huh!! Stupid#Team Downtowners

Mkuu msianze kuwataja huku, najua ni akina ANTI BILAL, SIJUI, ANTI PETER,patanuka huku!
 
Mkuu na mimi nimeshangaa sana aisee!Eti sijui Mawala kafa watu ooh Bilionea kafariki, sijui babu Sambeke juzi tena ooh Bilionea kafa.Hivi hawa watu wanajua maana ya Bilionea au ni umburula tu ndiyo unaowasumbua? Sijawahi hata kufika Arusha lakini watu wanavyosema ushamba umewazidi naanza kuwaamini.

Wewe ni mjinga kama sio mbumbumbu,..kwani wanaoandika kwenye magazeti wako wapi kama sio dar,..halafu sehemu haujawahi fika unavimba shingo eti washamba unajuaje,....nyie vijana wa tandika mna matatizo sana...pumbafuuuiu
 
Hao wa kwa macheni na kimboka wengi ni watoto wa kiarusha,kiukweli moshi na arusha wana ujanja wa kizamani sana,lakini ninachowapendea wanashoboka sana na watu wa Dar,muarusha akishajua wewe ni mtoto wa mjini I mean Dar ambapo wenyewe mpaka kesho wanaiita Dar bongo atakuganda muwe marafiki na kukupitisha kila kijiwe arusha nzima akijitapa Ana marafiki Mpaka bongo na huwa wanapenda watu wa Dar wanavyoongea kiswahili,I mean accent,ukiongea tu atakuuliza unatoka bongo nini chalii angu,hivyo ndivyo waarusha a.k.a.wanaapolo walivyo,inaelekea watachukua muda mrefu sana kuendelea

Mzaramo mwingine huyu.......perereee nyingi lakn hakuna anachojua.
 
Watu wa arusha ni wakuja saaana halafu wanajiona wanajua kilakitu.juzi hapo nakutana na ----- mmoja wa huko kanijia kwa taharuki"aisee umesikia bob sambeke kafa".ikabidi nimuulize huyo ni nani?muimba bongo fleva?bondia?ama kinyozi?jamaa akashika kichwa na kuondoka hakuaga

Unaona sasa,..nyie wabana pua ndio mamilionea kuliko wafanya biashara....ujinga sana huu
 
Back
Top Bottom