Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

mmefukua kabuli da nimemmis preta na ndalo longtime sana
 
Duh! Mwezi gani mkuu? Si alikuwa Dar? Nini kimemuuwa?
Watoto wote wa arusha ni wapuuzi, wana ushamba wa kizamani sana. Walitaka kuletaga noma coco beach 2012, tuliwagonga hawatakuja kusahau.
Huwezi mfananisha mtoto wa kino na wajinga wa huko arusha
 
Primary boarding halafu mzururaji?
Kwa sana yaani shule yetu zama izo ilikuwa aina ukuta rasmi fence michongoma. Ukishuka mto umeingia kijenge au ukitokea mbele upo town.

Nimekatiza sana mitaa ya Town, Ngarenaro, Sakina na Kijenge; nilikuwa na marafiki wa day wengi.
 
Nyie mnao sema watu waarusha washamba tofauti na wadar fuatilieni majimbo ya marekan Kama watu waishio majimbo hayo Kama Wana tabia zinazofanana mfano mzur Ni Texas ,kitabia kwa apa Tanzania wanaendana kwa ukaribu zaidi na watu wa Arusha kwa hyo usilazimishe watu wa dar wawe Kama wa Arusha na waarusha wawe kma wa dar.
 
Back
Top Bottom