Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

Somalia walipindua 1991 mpaka leo hawajawahi kutulia na kuwa na serikali!!!!

Libya nako ni miaka 12 leo hali ni tete....

Tusiwe shortsighted kiasi hicho
China, France, Russia, U.S.A,South Korea, zote hizi zilifanya mapinduzi kitaifa chako cha hovyo hakiwafikii hata robo
 
Wewe dogo ni mpumbavu sana U.S.A, France waliingia kwa kura za kwako ?
USA ilikua chini ya colony la uingereza ila tokea wapewe uhuru kwa VITA haijawahi tokea wakapinduana.

Kuhusu France walimpindua mfalme Lous sio serikali iliyoingia kidemokrasia na even though 1790s ilitokea vurumai nadhani unakumbuka directorate government nchi haikutawalika mpaka pale Napoleone alipokuja kupindua Tena serikali and na yeye akajua pinduliwa ikawa chaos ufaransa, hapo Bado 1830 na 1848 kukawa na mapinduzi tena.

Namaanisha Nini? Hakuna nchi iliwahi Fanya mapinduzi kwa serikali ya kidemokrasia alafu ikatulia, ni lazima tabia itaendelea na chaos haziishi maana Kuna ombwe la uongozi linabaki.
 
Hakuna njia moja ya kuondosha tawala za kishenzi nimekupa mifano ya U.S.A, France, China, Russia kwa hiyo akili zako za kijinga unafikiri tawala ovu zinaondoshwa kwa sanduku la kura pekee ? Safari ndefu bado kama ndio vichwa vya hivi vimejaa
Tofautisha mapinduzi na VITA/Ukombizu sijui kwanini unachanganya mambo. Hao china ilikua Chiang Kai Shek upande mmoja na mwingine Mao Tse Tung so hakukuwa na ombwe sababu Kulikua na clear leadership kwa pande zote mbili zinazopigana. Ila mapinduzi mfano ya jeshi au ya watu wachache serikalini inaacha gap la nani anachukua madaraka ndio nachokisema hapa.

Ufaransa unayosema ilikua chaos after mapinduzi nchi haikutawalika kwa miaka 5, hata Russia wote tunafahamu vurumai iliyotokea baada ya kina Lenin kupindua nchi. Ilikua mauaji, makundi ya waasi, vurumai nchi nzima. In fact zaidi ya 20 Million people waliuawa na utawala ule wa mapinduzi.

Sasa nyie mnaochekelea mapinduzi sijui mnaona Kuna faida gani, Mimi na advocate demokrasia kupitia sauti ya wananchi kuamua nani atawaongoza na sio mtutu hakuna nchi hasa za Africa zimewahi pindua zikatulia.
 
USA ilikua chini ya colony la uingereza ila tokea wapewe uhuru kwa VITA haijawahi tokea wakapinduana.

Kuhusu France walimpindua mfalme Lous sio serikali iliyoingia kidemokrasia na even though 1790s ilitokea vurumai nadhani unakumbuka directorate government nchi haikutawalika mpaka pale Napoleone alipokuja kupindua Tena serikali and na yeye akajua pinduliwa ikawa chaos ufaransa, hapo Bado 1830 na 1848 kukawa na mapinduzi tena.

Namaanisha Nini? Hakuna nchi iliwahi Fanya mapinduzi kwa serikali ya kidemokrasia alafu ikatulia, ni lazima tabia itaendelea na chaos haziishi maana Kuna ombwe la uongozi linabaki.
Tawala za kipumbavu hakuna namna ya kuzilea ukichukua madaraka kwa mapinduzi na wewe ukafanya ujinga utaondolewa tu hakuna muda wa kuvumilia uozo kama hapa eti kwa kigezo cha kuogopa revolution.

Wakomunisti wa uchina toka 1949 mpaka leo 2023 na wanafukuzia miaka 100 nani amewapindua ? Kwa sababu wanapiga kazi na wanawaletea maendeleo wachina hivyo wachina hawaoni sababu ya kuwapindua sasa tawala iwe ya kishenzi eti watu wakae kimya kuhofia mapinduzi huu ni ujinga wa kiwango cha juu zaidi.
 
China, France, Russia, U.S.A,South Korea, zote hizi zilifanya mapinduzi kitaifa chako cha hovyo hakiwafikii hata robo
Cha ajabu unakimbilia Ulaya unaruka nchi zenye mapinduzi kama DRC, Uganda, Burundi n.k? Nyerere angepinduliwa alikua Korea au Africa? Toa mifano ya Africa Sasa kama unajua unachosema ni sahihi.
 
Tofautisha mapinduzi na VITA/Ukombizu sijui kwanini unachanganya mambo. Hao china ilikua Chiang Kai Shek upande mmoja na mwingine Mao Tse Tung so hakukuwa na ombwe sababu Kulikua na clear leadership kwa pande zote mbili zinazopigana. Ila mapinduzi mfano ya jeshi au ya watu wachache serikalini inaacha gap la nani anachukua madaraka ndio nachokisema hapa.

Ufaransa unayosema ilikua chaos after mapinduzi nchi haikutawalika kwa miaka 5, hata Russia wote tunafahamu vurumai iliyotokea baada ya kina Lenin kupindua nchi. Ilikua mauaji, makundi ya waasi, vurumai nchi nzima. In fact zaidi ya 20 Million people waliuawa na utawala ule wa mapinduzi.

Sasa nyie mnaochekelea mapinduzi sijui mnaona Kuna faida gani, Mimi na advocate demokrasia kupitia sauti ya wananchi kuamua nani atawaongoza na sio mtutu hakuna nchi hasa za Africa zimewahi pindua zikatulia.
Kwa hiyo wewe ukisikia neno mapinduzi unafikiri ni coup D'etat pekee.

Unataka kusema wakomunisti hawakufanya mapinduzi kwa Kuomintang ila ilikuwa nini ?
 
Tume huru hailetwi na CCM Bali na katiba mpya. Hiyo ndio better solution kuliko kupinduana sio sustainable.
"Katiba ni kitabu tu" huyo uliye muweka kwenye picha ana thibitisha hilo yeye na chama chake au unafikiri katiba mpya unayo hitaji itashuka toka juu ?
 
Kwa hiyo wewe ukisikia neno mapinduzi unafikiri ni coup D'etat pekee.

Unataka kusema wakomunisti hawakufanya mapinduzi kwa Kuomintang ila ilikuwa nini ?
Ile ni Chinese civil war, mapinduzi ni pale section ya watu au jeshi la kitaifa linamuondoa Rais na serikali yake Ili kuweka kiongozi mwingine.
Ila eti mtu ana jeshi lake la waasi anaanzisha vita that's not really a coup d'etat but a civil war or liberation war whatever you call it.
 
"Katiba ni kitabu tu" huyo uliye muweka kwenye picha ana thibitisha hilo yeye na chama chake au unafikiri katiba mpya unayo hitaji itashuka toka juu ?
Hayo ni maneno tu ila Kuna nchi nyingi tu kama kenya Kuna tume huru ndio maana Kila uchaguzi chama kipya kinabeba Urais.

Hata Sauzi Wana tume huru pia Ghana na tumeona jinsi chaguzi ni za wazi Kila siku. Hayo yanawezekana ila siku yakitokea mapinduzi amini nakwambia Rais anaweza wekwa Chenge au Rostam na itakua Yale Yale tu.

Nitajie hapa sub Saharan Africa nchi gani ilifanya mapinduzi na yakaleta mageuzi chanya?
 
zisizo na ukweli wote.
Chanzo:
Code:
(1) HATIBU GANDHI and OTHERS v REPUBLIC ( ) [1987] TZCA 18; (14 December .... https://old.tanzlii.org/tz/judgment/court-appeal-tanzania/1987/18.
(2) Tanzania coup plot uncovered - UPI Archives. https://www.upi.com/Archives/1983/01/22/Tanzania-coup-plot-uncovered/8958412059600/.
(3) Zacharia Hans Poppe: The untold story of a Kagera war veteran. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/zacharia-hans-poppe-the-untold-story-of-a-kagera-war-veteran-3551376.
 
Vyama vingi vya upinzani vina Wana kitengo,mnachezeshwa ngoma tu,mrema na marando walikua nccr wote,na wote usalama
Nani alisema TISS haitakiwi kuwepo upinzani? Nachofahamu kitengo chochote makini lazima kiwe ahead sio sababu ya chama tawala ila kwamba hata nchi ikienda upinzani basi kuwepo regulated.

Nyie ndio mnafanya TISS ionekane ni CCM ila kikawaida ni halali tu usalama kuwepo makanisani, Yanga, CHADEMA etc ku regulate usalama. Hata Mbowe anafahamu hilo na mara nyingi huwa anasema "najua mpo humu, mfikishieni mama...."
 
Acha uongo hakuna maendeleo ukomunisti ulileta china, Mao mbona aliua almost 50 million people kwa njaa na ukame!!

Aliyeleta maendeleo china ni Deng Xiaoping na alitumia sera za kibepari ndio china ikafunguka mpaka leo. Au unadhani china ingeendelea bila sekta binafsi?
Kwa hiyo Deng Xiaoping wakati anajiunga na chama cha kutoka China 1922 alijiunga na chama cha kibepari cha China na sio chama cha ukomunisti cha China ?

Akili za wapi hizi unasema Deng Xiaoping ndie pekee ndie aliye Leta maendeleo China mapinduzi ya Viwanda, kilimo, mapinduzi ya chuma, miundombinu, mapinduzi ya kinyuklia vyote Deng Xiaoping ndie aliye anzisha ?

Deng Xiaoping huyu huyu nae kiri bila Mao asingeweza kufanikisha chochote ?

Kitu pekee Deng alicho badili kwenye ukomunisti wa uchina ni kufanya ukomunisti wa sifa za uchina kwa kuongeza wigo na njia zaidi za kiuchumi tofauti na awali lakini chama cha kikomunisti cha China ni kile kile kinacho plan uchumi wa uchina hakuna ubepari wa hivi labda kwa kitabu chako.

Kwanza hapa hatujadiliani mambo ya Deng bali mapinduzi usiamishe gear dogo.
 
Hatibu Gandhi, au Hatty MacGhee, alikuwa dereva teksi aliyefichua njama ya jaribio la mapinduzi ya mwaka 1982 nchini Tanzania.

Alizaliwa huko Zanzibar mwaka 1948 na alihamia Dar es Salaam mwaka 1970 ambapo alianza kufanya kazi ya uchukuzi wa umma.

Mwaka 1982, alikuwa akiwasafirisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya siri. Alisikiliza mazungumzo yao na kugundua kuwa walikuwa na mpango wa kumuua Rais Julius Nyerere na kuipindua serikali.

Alichukua hatua ya kishujaa ya kuripoti kwa vyombo vya usalama na kusaidia kuwakamata wahusika na kuzuia jaribio la mapinduzi. Kwa kutambua ujasiri wake, serikali ilimpa tuzo ya cheti cha heshima na gari jipya.

Baada ya tukio hilo, alibadili kazi na kuanzisha biashara yake mwenyewe. Alikufa mwaka 2009 akiwa na umri wa miaka 61.
Asante kwa taarifa, gari jipya na cheti tu?
 
Ile ni Chinese civil war, mapinduzi ni pale section ya watu au jeshi la kitaifa linamuondoa Rais na serikali yake Ili kuweka kiongozi mwingine.
Ila eti mtu ana jeshi lake la waasi anaanzisha vita that's not really a coup d'etat but a civil war or liberation war whatever you call it.
Kwani wakomunisti hawakuwaondoa Republic Of China na kusimika serikali yao mpya ?

Kwa hiyo wakomunisti hawa kuwa watu wa China walio wafurumusha Kuomintang ?

Hiki unacho andika dogo unafikiri vyema kweli ?
 
Hayo ni maneno tu ila Kuna nchi nyingi tu kama kenya Kuna tume huru ndio maana Kila uchaguzi chama kipya kinabeba Urais.

Hata Sauzi Wana tume huru pia Ghana na tumeona jinsi chaguzi ni za wazi Kila siku. Hayo yanawezekana ila siku yakitokea mapinduzi amini nakwambia Rais anaweza wekwa Chenge au Rostam na itakua Yale Yale tu.

Nitajie hapa sub Saharan Africa nchi gani ilifanya mapinduzi na yakaleta mageuzi chanya?
Unasema hayo ni maneno tu wakati yametamkwa na Rais na mwenyekiti wa chama kinacho ongoza nchi ?

Wapumbavu wamezidi humu ni kupoteza muda tu
 
Nani alisema TISS haitakiwi kuwepo upinzani? Nachofahamu kitengo chochote makini lazima kiwe ahead sio sababu ya chama tawala ila kwamba hata nchi ikienda upinzani basi kuwepo regulated.

Nyie ndio mnafanya TISS ionekane ni CCM ila kikawaida ni halali tu usalama kuwepo makanisani, Yanga, CHADEMA etc ku regulate usalama. Hata Mbowe anafahamu hilo na mara nyingi huwa anasema "najua mpo humu, mfikishieni mama...."
Nilishangaa hata Patrobas Katambi alikuwa mwenyekiti BAVICHA Taifa kumbe ni usalama. Leo hii Naibu waziri na yupo CCM. Hii nchi hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom