Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
Duh nilijuwaga peke yangu tuu ndiyo ninaona vibaya kumbe wengi tuu
Shukrani sana mkuu alieniwekea pichaWakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.
Nimefuatilia sana hotuba za waziri wetu mkuu lakini nikagundua kitu kimoja kwanza harakaharaka ukamwangalia vibaya unaweza sema labda shingo yake iko upande kumbe tatizo ni yule kinyozi anaemnyoa mh.wetu wakati anamkatia zile nywele nadhani hua hamnyooshi vizuri ile shingo hadi kumpelekea waziri wetu aonekane sura iko upande.

mimi naona kama kichwa kimekaa upande mmoja mrefu mmoja mfupi. ila ukiwa maarufu utachunguzwa mpaka utajuta
Linganisha na hiiWakuu poleni na majonzi na maombeleo yanayoendelea kwa kuondokewa na wanafunzi.