Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

How so? Huyu anaathiri vp maandamano? Outreach yake ni kubwa kiasi gani? Watanganyika ni wajinga kiasi cha kuwa distracted na utajiri wa mtu tu?
Yaani hao ambao wanajua ni project ya ccm ndio wako busy kumfuatilia na kuleta thread kwa tusiomjua wala kumfuatilia.
 
Yaani hao ambao wanajua ni project ya ccm ndio wako busy kumfuatilia na kuleta thread kwa tusiomjua wala kumfuatilia.
Halafu sasa na waliokuwa hawamjui nao wamemjua na kuendelea kuufuatilia uzi😀😀😀
 
Huyu mnyakyusa mwezangu nilikuwa namshangaa kwa mbwembe,, hatuna mbwembe kama hizo tutaonana kukaja kwa Kyela
 
Mtu yeyote anaeteswk na watu wanamna hiyo anashida ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…