Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

Joined
Aug 26, 2015
Posts
31
Reaction score
113
Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
 
images (4).jpeg
 
Halafu nyie, kwa nini mmesitisha utoaji wa mikopo mtandaoni? 😲
 
Nawa~Zoom, Nasema Hii Bhaghosha Sana
By Mzilankende, (Kuvaa Pajama Kutembelea Nyumba Za Watu Usiku)
 
Kwenye hotub hajatajwa isipokuwa kwa ujumla kwa kusema familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom