Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

Huwa ninajiuliza kwa nini hatumuoni mzee wetu wa taifa (first gentleman) bwana Hafidhi Amiri akiambatana na rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama yetu Samia Suluhu?

Fist lady wa Nyerere,Mwinyi, Mkapa,Kikwete, Magufuli tuliwafahamu vipi kuhusu mzee wetu Hafidhi kwa nini huwa haambatani na mama yetu Samia?

Wanaishi pamoja Ikulu?
 
Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
Na akionekana sana mtasema Nchi inatawaliwa na mmewe!!
 
Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
Wicknell Chivayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom