OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,200
- 103,736
Yanga akishinda ugenini natembea uchi
Kweli yanga barid hadi kwenye jez😀😀😀😀DAIMA MBELE.... NYUMA MWIKO!View attachment 1178184
Papaa Mwinyi za_hela ,mkata mayenu na ndombolo si mpira! Atawaambukiza ebola ya mpira bure!Kwa viongozi sio sana , mimi na wasiwasi na mwinyi zahera . Sijaona uwezo wake kama great tactician kuanzia usajili, kupanga timu mpaka maelekezo wakati wa mchezo . Naona msimu uliopita ilikuwa juhudi za wachezaji kwa asilimia 95% asilimia 5% ni za uhamasishaji kutoka kwa Zahera sio mbinu. Jamaa ni muongeaji sana kuliko kuleta matokeo, halafu hana nidhamu ya kazi. Timu imefanya maandalizi morogoro kwa muda mrefu na kocha msaidizi yeye yuko ufaransa ni Bora juzi kocha msaidizi angeongoza timu aliyoanza nayo. Akiulizwa atasema nilikuwa kwenye majukumu ya timu ya Kongo , timu yenyewe haikufika kokote afcon. Timu ikitolewa Botswana asirudi bongo aunganishe Lubumbashi au Paris . Bora mkwasa arudi au babu hans pluimj
Kweli wewe ni Toto Zembe
Hilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?Mnashindwa hata kwenda kuitazama timu yenu taifa ikicheza michezo ya kimataifa kwel Kama mnaiamini timu yenu kwanini mnashindwa kuujaza uwanja wa taifa kwa namna hiyo mnawezaje kuisaidia timu yenu kimapato kazi yenu tu kupiga porojo mitandano na kujigamba badilikeni.
Mimi sio shabiki wa 🐸Iyo sale lazima iwa cost,maana kama mmeshindwa kufua dafu nyumbani ugenini mtaweza?
Sio lazima washinde draw 2-2 wanavuka...Yanga akishinda ugenini natembea uchi
Angalia na kikos tulichochezeshaHambebeki nyie,mmeshinda kupindua meza mbele ya mama zenu,mtapindua meza mbele ya wakwe zenu.
Yanga ikishinda ugenini natembea uchi Shadeeya
Upo sawa kabisa yanga hii ya ss kwanza wanapiga mpira wa kuvutiaMm nasema tena siwezi kumbeza kocha timu imejitaidi no matter what sio kama wale vibwenge walio kuwa wanacheza komborera kwenye Viwanja vya watu.
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa janaHilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa jana
Mtani nihurumie mwenzio, ID yangu ile nyingine nimechezea ban ya mwezi nitapigwa tena ban mkuu maana nilitaka kukuporomoshea!Yanga akishinda ugenini natembea uchi
tatizo uliangalia mpira ukiwa na vipimo vyako flani (gadiel mbaga hakupiga cross wala hakuwa na blocking za maana) ila siwez sema hakucheza vzr kisa kapombe alikuwa anapanda kupiga cross (wakati mwingine alikuwa ana sababisha mashambulizi kwa kuchelewa kurudi)Ukiwa unaangalia mpira jifunze kuangalia vitu vya msingi.Mfano Ali Ali alipiga krosi ngapi ambazo zilifika? Alipoteza mpira mara ngapi kila alipojaribu ku drible? Sio kuangalia mchezaji anavyokimbia kimbia uwanjani ukazani ndo kucheza vzr.Kwa mpira wa sasa kazi ya beki wa pembeni ni pamoja na kushambulia hasa kupiga krosi mujarabu na makini zinazofika.