magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,307
Sare ugenini ndo imecheza tetema duuh kweli Yanga BaridiiiiiiiWewe naye nishabiki mandazi kweli kweli sasa ulitaka jana tufanye nn timu 80% ni wapya kupata combination sio kazi raisi kama unavyo fikilia shukuru mungu timu imejituma na future inaonekana. Vp wale walikwenda msumbiji kucheza tetema?