Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanayoendelea pale Yanga yanachefua,yanakasilisha na kuhuzunisha. Inakueje viongozi wanaacha kuwalipa tena kwa maksudi wachezaji wakongwe walioipambania timu katika mazingira magumu kabsa ya msimu uliopita? Nani asiye jua uwezo wa Yondani na Juma Abdul?Km hawa wachezaji wangekuepo nina imani kuna kitu jana kingebadirika. Baada ya Boxer kuumia aliingia Ali Ali ambaye kupiga chenga na krosi ilikua tatizo kubwa , hii yote sababu ya kumkosa Juma Abdul.Viongozi mpompo tuu,mmeshindwa kuwahamasisha mashabiki kuja uwanjani aaafu baadae muanze kulia lia hamna hela ya kuendeshea timu!! Juzi kwenye mechi na Kaliobangi baada ya mechi mlianza kulia lia etii ooh tumeibiwa swali ni je wkt mnaibiwa nyie mlikua wapi km hao wezi hamshirikiani? Kwa ujumla mmesha feli na kwa jinsi ninavyowafahamu mashabiki wa Yanga mkitolewa tu Namibia hamuwaoni tena uwanjani.
 
ally ally mbona alicheza vzr sana, kwa upande wa mabeki jana walicheza vzr tatizo liko kwenye umaliziaji

NB.si wachezaji wa zamani yeyote mwenye madai wajitahidi wamlipe maana mpira ndio kazi yao.
 
hawa viongozi washafeli muda mrefu mbona... we ndo unaliona sasahivi. viongozi wetu wanaifanya yanga iwe bariiiiiidi!!!
 
japo hueleweki unamaanisha nini acha nikuachie kibwagizo murua kabisa (yanga mpo bariiiiiidi)
 
Naskia kelele upande wa pili wakidai kuwa wao ndo mabingwa,sasa awajui kuwa iyo ni kitanzi apo baadae watakapo kutana tena marudianouko kwao,sasa moto watakao pelekewa uko kwao watajuta,namshauli Kocha wao ajitahidi kuipa mazoezi ya kutosha na kuangali mapungufu yapo wapi wayatatue.

MWINYI ZAHERA NGUVU MOHA.
Rubbish, hata ulichokiandika hakieleweki, unajaza ujinga tu hapa
 
Naskia kelele upande wa pili wakidai kuwa wao ndo mabingwa,sasa awajui kuwa iyo ni kitanzi apo baadae watakapo kutana tena marudianouko kwao,sasa moto watakao pelekewa uko kwao watajuta,namshauli Kocha wao ajitahidi kuipa mazoezi ya kutosha na kuangali mapungufu yapo wapi wayatatue.

MWINYI ZAHERA NGUVU MOHA.
??!?!
 
Yanayoendelea pale Yanga yanachefua,yanakasilisha na kuhuzunisha. Inakueje viongozi wanaacha kuwalipa tena kwa maksudi wachezaji wakongwe walioipambania timu katika mazingira magumu kabsa ya msimu uliopita? Nani asiye jua uwezo wa Yondani na Juma Abdul?Km hawa wachezaji wangekuepo nina imani kuna kitu jana kingebadirika. Baada ya Boxer kuumia aliingia Ali Ali ambaye kupiga chenga na krosi ilikua tatizo kubwa , hii yote sababu ya kumkosa Juma Abdul.Viongozi mpompo tuu,mmeshindwa kuwahamasisha mashabiki kuja uwanjani aaafu baadae muanze kulia lia hamna hela ya kuendeshea timu!! Juzi kwenye mechi na Kaliobangi baada ya mechi mlianza kulia lia etii ooh tumeibiwa swali ni je wkt mnaibiwa nyie mlikua wapi km hao wezi hamshirikiani? Kwa ujumla mmesha feli na kwa jinsi ninavyowafahamu mashabiki wa Yanga mkitolewa tu Namibia hamuwaoni tena uwanjani.

Kuwa na akiba ya maneno
 
Ukiwa unaangalia mpira jifunze kuangalia vitu vya msingi.Mfano Ali Ali alipiga krosi ngapi ambazo zilifika? Alipoteza mpira mara ngapi kila alipojaribu ku drible? Sio kuangalia mchezaji anavyokimbia kimbia uwanjani ukazani ndo kucheza vzr.Kwa mpira wa sasa kazi ya beki wa pembeni ni pamoja na kushambulia hasa kupiga krosi mujarabu na makini zinazofika.
ally ally mbona alicheza vzr sana, kwa upande wa mabeki jana walicheza vzr tatizo liko kwenye umaliziaji

NB.si wachezaji wa zamani yeyote mwenye madai wajitahidi wamlipe maana mpira ndio kazi yao.
 
Yote kwa yote. Hakuna wakumwangushia lawama zaidi ya uongozi wa timu ya yanga.

mashindano haya ni makubwa sana na yanahitaji maandalizi yakutosha. Haiingi akilini timu inakwenda kuweka kambi morogoro na kufuraia kucheza na vitimu vidogo na kuvifunga gol 10 alafu mnachekelea na kujivuna!

wenzao township rollers walikua wameweka kambi kule Africa ya kusini. Kila mtu atavuna alichopanda. Mimi kama mwana simba mzalendo nimehuzunika sana kwa matokeo ya yanga.

nawapongeza KMC na Simba kwa kupata sare ya ugenini. Ushauri wangu kwa yanga wajipange lolote linawezekana. Timu hizi zikifanya vizuri sifa nikwa taifa letu.
 
Kwa viongozi sio sana , mimi na wasiwasi na mwinyi zahera . Sijaona uwezo wake kama great tactician kuanzia usajili, kupanga timu mpaka maelekezo wakati wa mchezo . Naona msimu uliopita ilikuwa juhudi za wachezaji kwa asilimia 95% asilimia 5% ni za uhamasishaji kutoka kwa Zahera sio mbinu. Jamaa ni muongeaji sana kuliko kuleta matokeo, halafu hana nidhamu ya kazi. Timu imefanya maandalizi morogoro kwa muda mrefu na kocha msaidizi yeye yuko ufaransa ni Bora juzi kocha msaidizi angeongoza timu aliyoanza nayo. Akiulizwa atasema nilikuwa kwenye majukumu ya timu ya Kongo , timu yenyewe haikufika kokote afcon. Timu ikitolewa Botswana asirudi bongo aunganishe Lubumbashi au Paris . Bora mkwasa arudi au babu hans pluimj
 
Wewe naye nishabiki mandazi kweli kweli sasa ulitaka jana tufanye nn timu 80% ni wapya kupata combination sio kazi raisi kama unavyo fikilia shukuru mungu timu imejituma na future inaonekana. Vp wale walikwenda msumbiji kucheza tetema?
 
Kwa viongozi sio sana , mimi na wasiwasi na mwinyi zahera . Sijaona uwezo wake kama great tactician kuanzia usajili, kupanga timu mpaka maelekezo wakati wa mchezo . Naona msimu uliopita ilikuwa juhudi za wachezaji kwa asilimia 95% asilimia 5% ni za uhamasishaji kutoka kwa Zahera sio mbinu. Jamaa ni muongeaji sana kuliko kuleta matokeo, halafu hana nidhamu ya kazi. Timu imefanya maandalizi morogoro kwa muda mrefu na kocha msaidizi yeye yuko ufaransa ni Bora juzi kocha msaidizi angeongoza timu aliyoanza nayo. Akiulizwa atasema nilikuwa kwenye majukumu ya timu ya Kongo , timu yenyewe haikufika kokote afcon. Timu ikitolewa Botswana asirudi bongo aunganishe Lubumbashi au Paris . Bora mkwasa arudi au babu hans pluimj

Papaa Zahera Ni Tatizo Jipya Kwa Yanga, Uongozi Ushtuke Mapema Kabla Hali Haijawa Mbaya Zaidi
 
Kwa viongozi sio sana , mimi na wasiwasi na mwinyi zahera . Sijaona uwezo wake kama great tactician kuanzia usajili, kupanga timu mpaka maelekezo wakati wa mchezo . Naona msimu uliopita ilikuwa juhudi za wachezaji kwa asilimia 95% asilimia 5% ni za uhamasishaji kutoka kwa Zahera sio mbinu. Jamaa ni muongeaji sana kuliko kuleta matokeo, halafu hana nidhamu ya kazi. Timu imefanya maandalizi morogoro kwa muda mrefu na kocha msaidizi yeye yuko ufaransa ni Bora juzi kocha msaidizi angeongoza timu aliyoanza nayo. Akiulizwa atasema nilikuwa kwenye majukumu ya timu ya Kongo , timu yenyewe haikufika kokote afcon. Timu ikitolewa Botswana asirudi bongo aunganishe Lubumbashi au Paris . Bora mkwasa arudi au babu hans pluimj
Nawewe unaamini kama mikia kwamba tutatolewa kyle Gabelone? Tunza komenti yako. Kwa yanga hii ata simba atapigwa nje ndani mark my words.
 
Back
Top Bottom