Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190811_112601.jpg
 
Kwa viongozi sio sana , mimi na wasiwasi na mwinyi zahera . Sijaona uwezo wake kama great tactician kuanzia usajili, kupanga timu mpaka maelekezo wakati wa mchezo . Naona msimu uliopita ilikuwa juhudi za wachezaji kwa asilimia 95% asilimia 5% ni za uhamasishaji kutoka kwa Zahera sio mbinu. Jamaa ni muongeaji sana kuliko kuleta matokeo, halafu hana nidhamu ya kazi. Timu imefanya maandalizi morogoro kwa muda mrefu na kocha msaidizi yeye yuko ufaransa ni Bora juzi kocha msaidizi angeongoza timu aliyoanza nayo. Akiulizwa atasema nilikuwa kwenye majukumu ya timu ya Kongo , timu yenyewe haikufika kokote afcon. Timu ikitolewa Botswana asirudi bongo aunganishe Lubumbashi au Paris . Bora mkwasa arudi au babu hans pluimj
Papaa Mwinyi za_hela ,mkata mayenu na ndombolo si mpira! Atawaambukiza ebola ya mpira bure!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mnashindwa hata kwenda kuitazama timu yenu taifa ikicheza michezo ya kimataifa kwel Kama mnaiamini timu yenu kwanini mnashindwa kuujaza uwanja wa taifa kwa namna hiyo mnawezaje kuisaidia timu yenu kimapato kazi yenu tu kupiga porojo mitandano na kujigamba badilikeni.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mnashindwa hata kwenda kuitazama timu yenu taifa ikicheza michezo ya kimataifa kwel Kama mnaiamini timu yenu kwanini mnashindwa kuujaza uwanja wa taifa kwa namna hiyo mnawezaje kuisaidia timu yenu kimapato kazi yenu tu kupiga porojo mitandano na kujigamba badilikeni.
Hilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?
 
Mm nasema tena siwezi kumbeza kocha timu imejitaidi no matter what sio kama wale vibwenge walio kuwa wanacheza komborera kwenye Viwanja vya watu.
Upo sawa kabisa yanga hii ya ss kwanza wanapiga mpira wa kuvutia
Ni makosa madagomadogo yaliop kweny Tim ila yatakapo malizika sioni Tim yakutusumbua TPL msimu huu.
 
Hilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa jana
 
Bado sio sababu, simba walikua wanapigwa tano tano lakini bado walikua wanajaa uwanjani, kiufupi wananchi tumezingua.
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa jana
 
Walikuwa kwenye TV kufatilia timu zao pendwa za EPL, Wazo lankizushi tff waweke screen pale taifa kuonesha zoka la epl ratiba ikigongana na mechi zetu, kama kwenye vibanda umiza unakuta screen hadi 3 mechi tofauti
 
Ukiwa unaangalia mpira jifunze kuangalia vitu vya msingi.Mfano Ali Ali alipiga krosi ngapi ambazo zilifika? Alipoteza mpira mara ngapi kila alipojaribu ku drible? Sio kuangalia mchezaji anavyokimbia kimbia uwanjani ukazani ndo kucheza vzr.Kwa mpira wa sasa kazi ya beki wa pembeni ni pamoja na kushambulia hasa kupiga krosi mujarabu na makini zinazofika.
tatizo uliangalia mpira ukiwa na vipimo vyako flani (gadiel mbaga hakupiga cross wala hakuwa na blocking za maana) ila siwez sema hakucheza vzr kisa kapombe alikuwa anapanda kupiga cross (wakati mwingine alikuwa ana sababisha mashambulizi kwa kuchelewa kurudi)


kwa mtazamo wangu ally ally alicheza vzr 80%
 

Similar Discussions

97 Reactions
Reply
Back
Top Bottom