Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
sasa nisikwambie kwamba nimependa jina lako?
Hahaha hata ukinipenda sio mbaya si unajua wewe ni shemeji yangu.....lol
sasa nisikwambie kwamba nimependa jina lako?
Nawe umejipatia jiko kumbe!
Hajakose; majiko yako ya kila aina....gesi, mkaa, kuni....
Familia hata asipoitunza inajitunza yenyewe na ipo kamili gado, ye ahangaike tu huko ila akichoka atafute na pa kwenda,
dada DEMBA, Honey Faith anakuita huku eti ana ujumbe wako!
Anayejua aina na size muwashaji...
hahahaha...siwishi birthday watu nsowajua...humu namjua mtu mmoja tu... The one and only...The Boss
Life has been so kind after having you in my life
Hahaha hata ukinipenda sio mbaya si unajua wewe ni shemeji yangu.....lol
Mbona mie maneno mazuri siambiwagwi?
Kitambo sana sijasikia hii sauti yako aisee...
mda wa kuzima taa unakaribia shem... lol lol.. seems like we are alone in here!
Wewe uliem miss hadi ukaumwa hakukuambia?
Unasalimiwa na shem wako ........
Yule yule wa kila siku au mwingine??