You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Waoh!! Kati ya jambo nililofurahia leo basi ni hili..
angelita, rafiki yetu kufikisha miaka kadhaa!!
Ni jambo la kumshukuru sana Mungu haswaa kwenye Ulinzi wake mpaka hapo ulipofikia, Msichana mrembo kama wewe kuweza kuepuka vishawishi hatari vya Ulimwengu huu ni jambo kubwa na yakupasa umshukuru MUNGU.

angelita my friend,
On this special day, i wish
you all the very best, all the joy
you can ever have and may you be
blessed abundantly today,
tomorrow and the days to come!
May you have a fantastic Life
and many more to come... HAPPY
BIRTHDAY!!!!

Cc: lara 1, nyumba kubwa...
and my wife shansarie!!
 
Aaaawh.... Thank you best kiwatengu Mungu ni mwema sana kwangu na nina kila sababu ya kumwambia ahsante kwa zawadi hii kubwa aliyonipatia.

Barikiwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Aaaawh.... Thank you best kiwatengu Mungu ni mwema sana kwangu na nina kila sababu ya kumwambia ahsante kwa zawadi hii kubwa aliyonipatia.

Barikiwa sana.

Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..
Arushaone na mkewe Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe Mwanyasi!!
Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu...

Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?
 
Last edited by a moderator:
angelita hongera mamii mpaka hapo ulipofika,mimi na my hubby Nyani Ngabu tunakuombea heri zote kwako. charty hebu njoo na ile zawadi huku
 
Last edited by a moderator:
Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..
Arushaone na mkewe Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe Mwanyasi!!
Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu... Sikuwahi kufikiria kama tungejuana muda mrefu hivi..

Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?
Khaaaa....hii kampeni chafu dhidi yangu unamtumikia nani???
 
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako angelita
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa angelita..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom