You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

Mkuu ila usiwe ulinz ule wakumwachia fisi bucha alinde!! Pls huyo ni shemeji yako muheshim na umlinde wahuni wasimchokoze

Haina noma, mi mwenyewe ananijua, niko fiti kwenye hiyo idara!!
 
Happy birthday 🎂 angelita


Naona kila mtu Ana mcc mtu wake tutakoma sie tusiokua nao
 
Last edited by a moderator:
Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..
Arushaone na mkewe Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe Mwanyasi!!
Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu...

Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?

Happy birthday angelita Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na baraka Tele.
kiwatengu, Eli79 ananipa stress mpaka sikuiona hii.
 
Last edited by a moderator:
Ooooh okey, naomba niwe najilinda mwenyewe maana mie pekee ndio nitakuwa mlinzi mwaminifu

Hapana hapana..nishapewa job wewe!!
Nitakulinda tu!! kwanza huu ulinzi huna maamuzi juu yake!!
Nakulinda mimi ni order kutoka kwa mumeo.
Si kwenda China kushangaa magorofa wewe.
 
Back
Top Bottom