You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

Hapana hapana..nishapewa job wewe!!
Nitakulinda tu!! kwanza huu ulinzi huna maamuzi juu yake!!
Nakulinda mimi ni order kutoka kwa mumeo.
Si kwenda China kushangaa magorofa wewe.

Hahahaaaaa! Yaani hilo biti limenifanya nicheke tu kwakweli, wacha weee nakuona mlinzi kazini na hutaki utani kabisaaaa!
Honey wax please darling grant me my wish, n i promise to be the loyal wife u ever had.
 
Last edited by a moderator:

Okey honey I trust you don't let me down kuanzia sasa kiwatengu kibarua kimeota nyasi arudi tuu kijijini
 
Last edited by a moderator:
Hapana hapana..nishapewa job wewe!!
Nitakulinda tu!! kwanza huu ulinzi huna maamuzi juu yake!!
Nakulinda mimi ni order kutoka kwa mumeo.
Si kwenda China kushangaa magorofa wewe.

Kweli mkuu nimeamini wewe ni mlinzi imara lakn bby kaniambia ana self security!!, so sorry
 
Hahahaaaaa! Yaani hilo biti limenifanya nicheke tu kwakweli, wacha weee nakuona mlinzi kazini na hutaki utani kabisaaaa!
Honey wax please darling grant me my wish, n i promise to be the loyal wife u ever had.

loyal wapi? wewe...ngoja kwanza!!
 
Last edited by a moderator:
Thats why i love you, muelewa hadi raha, what else do i need! Sory kiwatengu mapenzi yana nguvu sana ujue!!

Thanks baby watu huwa hawajui mapenz ni ya watu wawili ukiruhusu watu wawaingilie furaha hupotea kabsaa I love you my
 
Last edited by a moderator:
Na bado yani hapo kama ni safari ndio hata ubungo hatujatoka.Muombeeni tu atunze familia ndio kilichobaki😀

Familia hata asipoitunza inajitunza yenyewe na ipo kamili gado, ye ahangaike tu huko ila akichoka atafute na pa kwenda,
dada DEMBA, Honey Faith anakuita huku eti ana ujumbe wako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom