everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Nimeshindwa la kukutibu imebidi nikuangalie tu....
Mwenzangu!!! Huyu anataka kutugombanisha tangu lini mafahali wawili wakakaa zizi moja?......
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa la kukutibu imebidi nikuangalie tu....
Mwenzangu!!! Huyu anataka kutugombanisha tangu lini mafahali wawili wakakaa zizi moja?......
Lile prado lako liko wapi?
Ilikuwa danganya toto wangu, mda mrefu sijakuona kipenzi..
nilikuwa mimi, then nikamwachia figganigga ushasahau?
Khaaaa....hii kampeni chafu dhidi yangu unamtumikia nani???