Sijaelewa why my babe nyumba kubwa umem cc hapo...
ZAWADI AMEPATA MAMA TERRY ATUPE TU DIRECTION ILA JAMAN MAMA TERRY KUMBE UNA WANAUME WENGI..KWNINI USIBAKI NA NYANI NGABU WAKO NA ANAKUPENDA...cc NYANI NGABU
jiko au majiko?
bibie nyani ngabu ndio njia kuu...wengine washika mapembe tu. Halafu naona kiwatengu na eli79 wanaiandama sana ndoa yangu. Hebu piga maombi ya kuwasambaratisha
wivu mbaya wewe!!
Bibie Nyani Ngabu ndio njia kuu...wengine washika mapembe tu. Halafu naona kiwatengu na Eli79 wanaiandama sana ndoa yangu. Hebu piga maombi ya kuwasambaratisha
nitaanza kufunga novena kwanzia kesho..kwa kweli hawana nafasi hawa wanaume mabazazii
Uliulizwa, Ngabu ni wa siku gani? kuanzia jtatu hadi jpili..
HAHAHA KIWATENGU NAWE KWA KUKARIRI...EBU KWENDA HUKO CHUMA HULIWA NA KUTU....CHA MTU HULIWA NA MTU BABUU WEE EBU TUPISHEE HUKO cc The boss usisahau eid plzzz!!!bazazi mkuu huyo uliyepanga kuonana nae siku ya idd
Fanya hivyo mana pepo la uchonganishi limewavaa hii midume