na watashindana lakin hawatashindaaaa!! in Gwajimas voiceeeee....hahahah
in words yes!! in action...
Muulize...ye mwenyewe shahidi kwa nimtendeavyo,hapindui hapa..
Ulipoleta ubishi yeye akadhibitisha hapa.Kwa nini unacheka?
'Valentina' ana mume kwa kila siku ya wiki kuanzia J'tatu hadi J'pili.
Ila mi ndo sijui ni mume wa siku gani....nahisi labda Jumamosi labda...
Kwani Eiyer siyo mumeo?
Ntuzu je?
ngoja nikuwekee copy yake hapa
Ulipoleta ubishi yeye akadhibitisha hapa.
huchomoki hapa!! mpaka huo mtoko wa Idd ufie hapahapa..
Ilivyo mingi sasa si nitajaza ukurasa!!!
kuna ambao hawajui kula kistaarabu!! Lazma ujitenge nao.
bora ujaze, la sivyo unanishuhudia uwongo:shock:
HAHAHAH NIMEGHAIRI SIKUKUU YA EID MI NA MUME WANGU kibo 10 tutaenda zetu MOSHI KUSALIMIA WAKWEEumemix file ujue, kwa utamu wako!! kuna watakaokuganda!! kaa nao mbali, nasubiri uahirishe huo mtoko wa Idd, other wise...hatua nyingine zitafuata.
umemix file ujue, kwa utamu wako!! kuna watakaokuganda!! kaa nao mbali, nasubiri uahirishe huo mtoko wa Idd, other wise...hatua nyingine zitafuata.
umemix file ujue, kwa utamu wako!! kuna watakaokuganda!! kaa nao mbali, nasubiri uahirishe huo mtoko wa Idd, other wise...hatua nyingine zitafuata.
over!! Peace return..
Meru unakuja lini?