Hahaha happy born day bibi angelita...kwa niaba ya rafiki yangu kiwatengu...na mume wangu kibo 10 bila kumsahau mchepuko wangu wa siku nyingi rich pol.. Na excel...one love...uishi miaka mingi diaaa
Waoh!! Kati ya jambo nililofurahia leo basi ni hili..
angelita, rafiki yetu kufikisha miaka kadhaa!!
Ni jambo la kumshukuru sana Mungu haswaa kwenye Ulinzi wake mpaka hapo ulipofikia, Msichana mrembo kama wewe kuweza kuepuka vishawishi hatari vya Ulimwengu huu ni jambo kubwa na yakupasa umshukuru MUNGU.
angelita my friend,
On this special day, i wish
you all the very best, all the joy
you can ever have and may you be
blessed abundantly today,
tomorrow and the days to come!
May you have a fantastic Life
and many more to come... HAPPY
BIRTHDAY!!!!
Cc: lara 1, nyumba kubwa...
and my wife shansarie!!
Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..
Arushaone na mkewe Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe Mwanyasi!!
Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu...
Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?
Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..
Arushaone na mkewe Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe Mwanyasi!!
Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu...
Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?
hataki kuolewa na m'babu!! we si tayari ushaenda above 35
Ni yule mwanasiasa?
Mmmh!!
Baby habar ya Jpili hope you are fyn d
Am very okey, niambie mume wangu, ulipotelea wapi? Au ndio umeanza michepuko?