You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

Hapana my dear siwez kukusaliti mke wangu nlikua busy kidogo nafuatilia mchakato wa kumpata mgombea wa Urais naamini nawe ushamjua nakukumbuka sana mke wangu

Oooh!! Haya bwana mie nipo tu na nilikumiss sn kipenzi cha moyo wangu, usiwe unapotea hivyo bwana alafu bila hata taarifa! Unanifanya nahofu, sawa laazizi?
 
Oooh!! Haya bwana mie nipo tu na nilikumiss sn kipenzi cha moyo wangu, usiwe unapotea hivyo bwana alafu bila hata taarifa! Unanifanya nahofu, sawa laazizi?

Sawa my swrt suala la hofu Ondoa kabsaa cna tabia za kuchepuka dear
 
Uwiiiii everlenk njoo uone balaa jipya la huyu ex wetu, yaani wewe Eli79 kila siku unaibuka na mapya!! Kutumiliki mmoja mmoja ulishindwa wote wawili utatuwezea wapi?


Hahaha... atoto hem sema ni wapi nitashindwa kuwamiliki nyie viumbe? Sema tu, $$$$ ninazo, 6 by 6 ndio usiseme, macare, etc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom