Temeke mikoroshiniHivi huyu mtoa mada ni BINTI kutoka mkoa gani?
Huyu Nyani kuna wakati anavurugwa sana!
Makamanda mtatoa sana povu leo.
Makamanda mtatoa sana povu leo.
We mama unahitaj p.. u..mb za kutoshaAchana na lijamaa linalojiteka lenyewe, majanga hayaishi kwake na lichama lake la flush walahi
Kwani ndo sirro mwenyewe?Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Takataka hatarishiHuyu Nyani Ngabu ni mojawapo ya taka za kupuuza
Wewe unajuaje kama Sirro hajui?
Vyanzo vya habari vya Zitto unavijua?
Acha kuaminiamini akina Sirro,wale muda mwingine wanapewa maelekezo,nini waongee.
(Kweli "NYANI" Halioni kundu lake)....
Acha ubalozi au ukuu wa wilaya yaani hata ujumbe wa nyumba kumi hutapewa....
Chapter closed!!
Nyani ngabu kawa Nyani mzee! Haoni, hasikii, haambiwi, juu ya jiwe na sirikali yake! Yaani mahaba kama yoteeee! Yaani hata kale kauwezo kadogo ka kuchambua mambo kama msomi na mwenye uzoefu wa maisha kwingineko duniani ukilinganisha na hapa kwetu kametoweka!Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.