dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Bebe ngosha. Umala ghete.
Umeandika kwa makusudi?. Umeniua kwa kicheko.
YES, GOD always answers our players.
dada white unene nadubhinaga na ng'wana wang'wa Seba. Oh Seba adachagulaga abhana bakwe. Abatogilwe pye.Oo bhee bhee wa Ng'wamapalala olebhina na Yesu ng'wana wa Mungu.Tokwibhona konoko komalhunde ng'wa see wisee
Kila mtu ana chaguo la imani katika maisha yake lakini haimaanishi kuwa kila mmoja lazima ukubaliane na imani hiyo.nafikiri mnatofautiana viwango vya kuamini....lkn ana hai ya kuamini kwamba KING OF KINGS,LION OF JUDAH ndo amempa kazi...jamani huyu YESU mtamu sana!
yehova yu hai
mataifa yote tumsifu yeye
yehova yu hai
yehova anatenda
tumtukuze kwa utukufu wake
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Kila mtu ana chaguo la imani katika maisha yake lakini haimaanishi kuwa kila mmoja lazima ukubaliane na imani hiyo.
Ni kweli, haki anayo sana. Lakini kama ukisoma vizuri bandiko lake utagundua maana yangu kusema hivyo. may be, she was just incautious.na ikiwa kila mtu aana haki ya kuamini atakavyo basi hata huyu ana haki ya kumshukuru YESU wake kwa kumpa kazi UN
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
========
Wale wagonjwa kumi wa ukoma waliomwendea YESU awaponye, wote waliponywa,kwa hiyo hata hao wengine wenye experienceskama wangeingia kwa hiyo interview kwa kuliitia jina la YESU wote wangepata kazi,huwa anafanya mambo juu ya kawaida.
Ishu sio fungu la kumi tu, Yesu hayupo kwa ajili ya pesa za fungu lako la kumi, mtolee maisha yako sasa, ni vyema sana umeamini ni yeye ndio amekupa kazi na si nguvu zako binafsi, mtumikie sasa!
Kuna namna nyigi sana za kutoa fungu la kumi, sio lazima uchukue kalkuleta ukokotoe asilimia kumi ya mshahara wako mpya wa UN!