Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Mda mwingi unaandikaga pumba sijui kwa nini waisilam wa tz mnaaibisha hii dini
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
2Q==
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Wengi wenu muliishia kusoma madrasa tu mkasahau kuwa kuna elimu nyigine baada ya hapo, Sasa wewe unataka nafasi nyeti kama hiyo ishikiliwe na mbumbu matokeo yake yatakuwaje?.
 
Political correctness,sasa leo mkitaka wanaoingia vyuoni ,kama Muhimbili mjali dini zao,basi mtakuwa na madaktari vilaza.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Yaani we mwaname ni hovyo kabisa sijawahi kudhania....How can u endekeza udini kiasi hiki....mbona wengine tumeongozwa na waislam na hatujahisi tatizo lolote.......Wana JF imefikia wakati wa kuwatambua hata hawa wachochezi wa mgawanyiko wa jamii yetu kupitia kwenye internet.Especially this FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha

kwa maana ya kufanya utafiti wacha achukue likizo ili awe free, ni lazimz aitee doctorial yakem na kujiandaa kuwa prof, siamini kama waislam wanaweza kumtoa mtendaji wa serikali kwa mambo yao binafsi labda kuwe na movement behind,ila kuwepo au kuto kuwepo kwa ndalichako baraza la mitihani hakuwafanyi waislam au wakristo kufeli au kufaulu mitihani ta necta, binafsi sioni baya alifanya ndalichako dhidi ya waislam na uislam wenyewe kama atatoka necta itakuwa ni mipango ya kawaita kabisa na sio udini, kumbuka ndalichako ni presidential appointment anaweza kutengua uteuzi wake ni president pekee.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Hiyo nafasi mbona ndogo sana!!

Mkuu wako wa nchi ni muislam..Nini kipya?
 
Waislamu wana nguvu sana. Nilijua watamngo'a tu!

Nadhani ni wakati mzuri nafasi yake ikachukuliwa na Dr Ponda Issa Ponda hili na sisi wanafunzi wa madlasa tukapewa Shahada si unajua tena kama wasiojua kusoma na kuandika wanakwenda sekondali sembuse sisi
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Amekuona kiaje, waambie wakuweke wewe, kwa ufupi wa kufikiri unawaza waislam wananyanyaswa, warabu walipoleta dini ya kiislam niambia walipojenga misikiti je walijenga na shule zaidi ya madrasa, maana hoja zenu kwa nini sehemu nyingi za serikali wakristu wamejaa unasahau kujua kwamba wamisionari walipoleta dini ya kikristu walijenga makanisa na shule. Hata mkuu wa kaya kikwete kasomea shule za kikristu.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Ayaaaaaaa kumbe ndo lengo hilo haya sasa majanga
 
Nilikuwa nakuheshimu sana dada yangu lakini kwa mchango wako huu,

Umejipunguzia Heshima ya Utu wako na Umewapatia Heshima ya Mashaka

watu waliokuheshimu kwa muda mrefu pamoja na waislamu wenzako.

Nijambo la aibu ktk zama hizi kuingiza chembechembe za udini kwenye Professionalism
ktk utendaji. hupaswi kujutia kuwa muislamu, kinachotakiwa ni kusoma kwa juhudi
na mhimizane kubadilika. Nyinyi upande wa pili wa dini kuna mambo fulani mlishakosea
huko nyuma ndo kinachowatafuna hadi sasa na mnadhani adui yenu ni NECTA
chini ya NDALICHAKO, Real you are fighting the wrong enemy.

Hapa ndo mnaponikumbusha Luddism na chartism huko England.

I stand to be corrected.

Mimi muislamu,umeandika maneno yenye tija na ujumbe ndani yake. Ahsante.
 
Muislaam ndiyo nani huyo na asiye muislaam ndiyo yupi wakati binadamu wameumbwa kwa maumbo ya kike na kiume pekee.

Jamani mnamkumbuka EL HAJI JUMA KAPUYA alichokifanya hakitasahaulika kamwe.Wakati wa Kapuya 'Mtihani wa form 4 mwaka 1998 ulivuja hadi ukawa unabandikwa kwenye nguzo za umeme na mama ntilie kufungia vitumbua kabla hata mtihani haujafanyika.
 
Waalaaniwe wanamtandao wote (akiwemo 6 - myamwezi mlokoke mzee kanisa ) walioshiriki kumuweka madarakani mr. dhaifu na sirikali yake yoote lege lege inayo tugawa kidini na isiyo na maamuzi
 
Mbona udini umetawala sana hapa jamani kulikoni???? Hivi watanzania tumefikia huko??? I wish Nyerere angekuwepo aone haya kwa macho yake mwenyewe!!!!
Angekuwepo ndiyo angewasaidia?
 
Back
Top Bottom