The better option is to leave them as they are!Muslims have no convincing arguments at all of why Christian Schools perform so well than Muslims' ones.Even if you give them hard evidence over why Christians perform well they will still argue.
toka dr. Ndalichako ameshika hiyo nafasi kuna muislamu amewahi kufaulu?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Jiulize wewe wanaofanya Islamic Knowledge ni kina nani? Ndalichako?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
si kila idara nyeti inapaswa kushikwa na wakatoliki,mbona shirika la NSSF linaongozwa kwa ufanisi mkubwa kuliko mifuko mingone ya hifadhi za jamii,mbona haki inatendeka?kwanini necta igeuke machinjio ya waislaam na kuwabeba wakristo hasa wakatoliki?
ushahidi wa kuwa wakatoliki wanabebwa ni jinsi shule zao zinavyoongoza kwenye mitihani ya taifa kila mwaka kwa kupata division one lkn wanapokwenda vyuo vikuu ambako haki inatebdeka,utakuta mtoto mwenye one anakimbizwa darasani na aliepata div three.hili ni tatizo.huu ni ushahidi wa kimazingira kuwa qatu walibevwa.mfano mwingine ni mh.mnyika ambae wakati anasoma o-level ktk shule ya kanisa alipata alama A tisa yaani one ya point saba lkn cha ajabu alipomaliza form six ktk shule isiyo ya kanisa akapata div four .hii haingii akilini maana kwa uzoefu ni kuwa,ni rahisi sana kufaulu mtihani wa form six kuliko form four lkn why mnyika alifeli a-level kama kweli hizo A alizipata kwa akili zake?
umemwaga pumba za
kutosha mkuu, hivi ufanisi wa NSSF unaupima kwa kutumia nini? unajua
chanzo cha mapato ya NSSF ni nini? ufanisi kwa kuwekeza kwenye illiquid
investments kama udom na daraja la kigamboni? payback period ya udom na
daraja la kigamboni ni infinity ni kiongozi kichaa tu anaweza ku-approve
investments kama hizi.
ujinga hauna dawa, someni muislamu akishika hiyo nafasi ndio wajinga wote wa kiislamu watapata akili, kweli ujinga suna.
ndo maana kwenye katiba mpya tufute hiyo islamic na bible knowledge ukitaka kasome huko huko vichochoroni ndio dawa yenu sijawahi wasikia mkilalamikia physics au maths!!
ili mpate division A za dini hahaaaa tena chadema wakiingia madarakani watafuta masomo yote ya dini kwenye mitaala mkasome huko huko misikitini na makanisani ibaki elimu dunia tu
...Hivi akina Rostam Aziz, Edward Lowasa, JK-RICHMOND/DOWANSWrong. Mimi nilifanya kazi miaka mingi sana lakini sio Serikalini, kwa sasa ni semi retired (nachukuwa kazi moja moja za "consultancy", na nnakula nilichokichuma na nilichokirithi kwa wazee wangu, mashamba mkoa wa pwani na nyumba, Kariakoo, Ilala, Magomeni, Mbezi beach, Msasani na Sinza. Waliona mbali eeeh?
Pambafu! Kwani umesikia NECTA wanajenga misikiti?!
Ndugu unaonesha wewe sio mfatiliaji wa mambo, vita ya udini tz ipo tena ipo sana tatizo waislam wamekuwa wawazi mno kwenye hili tofauti na wakristo ambao vita yao wanaipeleka chinikwachini, ushaskia wanavyomponda dr dau wa nssf kuwa kageuza shirika madrasa? wanasema waislam hawawezi kuajiriwa coz wamesoma masrasa tu mbona MUM wameajiri waislam wamewapata wapi?Mimi muislamu,umeandika maneno yenye tija na ujumbe ndani yake. Ahsante.
Duh! we ndo kilaza kwelikweli, division A ndio nn?ili mpate division A za dini hahaaaa tena chadema wakiingia madarakani watafuta masomo yote ya dini kwenye mitaala mkasome huko huko misikitini na makanisani ibaki elimu dunia tu
tukisema necta inawaonea waislam mnabisha eti prof lipumba, njozi mnasema wamesoma wapi? sasa nakuuliza nssf hakuna wakristo? magori dini gani?Shule yako iliishia darasa la ngapi? Uandikaji wako hauonyeshi kama Uko juu ya darasa la 12 la pale Kinondoni muslim.
Juzi tumeitaja NSSF. Shirika ambalo ukiomba ajira unaulizwa jina la mama wa mtume Kama wale Jamaa wa Westgate, al shabaab.
tukisema necta inawaonea waislam mnabisha eti prof lipumba, njozi mnasema wamesoma wapi? sasa nakuuliza nssf hakuna wakristo? magori dini gani?