Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Hili tatizo la dini halitakwisha. Sielewi ni kwa nini Islamic na Bible knowledge yamefanywa Kuwa ni masomo ya sekondari! Baada ya mgogolo wa majibu ya Islamic knowledge, Ndalichako aliomba masomo haya mawili yaondolewe kabisa kwenye mitaala ya sekondari.

ndugu zangu wa BAKWATA walikuwa wa kwanza kukataa! Lakini Ndalichako alikuwa sahihi kabisa. Anayeyahitaji kwa nguvu akasome seminari, basi!

Haya mambo mengine ya uislamu vs ukristu au waislamu vs wakristu kuachwa nyuma au eti nafasi fulani hatujawahi kushika ni upuuzi tu! Nani aliwabagua, nani aliwanyima, mulikuwa wapi wenzenu walipokuwa wakipata nafasi hizo? Muliomba mukanyimwa kwa sababu tu ya dini? Kwa uzembe mtu atasema ndiyo, unao ushahidi?

Historia ya nchi za east africa inaonyesha udhaifu wa uislamu ktk huduma za jamii. Kubali kataa hali iko hivyo ndo maana hakuna shule za maana au hospitali ya maana ikimilikiwa na dini hii. Hakuna aliyezuia kufanya hivyo halafu awaruhusu kujenga misikiti.

Mwinyi akiwa Rais tumeshuhudia juhudi ikiwa ni kujenga misikiti maeneo ya wazi kama magomeni traffic lights badala ya mashule.

Leo hii tukibaguana na kuongeza chuki, wakristu wakiamua kuwabagua mutatibiwa wapi? Bugando na KCMC zote za wakristu, munaowaita makafiri.

Najiuliza hali ya mkristu ingekuwaje kama waislamu ndo wangemiliki Bugando, KCMC, na sekondari zingine nzuri kama ilivyo kwa wakristu sasa hivi? Naamini wakristu wangekoma!
 
Watakwenda kutibiwa somalia
 
Utaweza? Kashindwa Ndalichako, itakuwa wewe usie na jina?
Yaani katika masomo yoooote, mnalalamikia elimu yenu ya majini tu

Mbona hakuna hata siku moja nikasikia mkilalamika kwenye masomo ya sayansi au hata hesabu?
 
Awe muislamu! Kwani kazi ya katibu mtendaji ni kuswalisha ama kuiongoza bakwata?
Labda kuna mabucha wakachinje! wanacheza na taaluma hawa watu waache, sasa shule mkatae kwenda kisha mtake nafasi kubwa kama hizo? mambo ya ajabu sana.
 
Faizafoxy;
Muislam ni nani na mkristo ni nani? Kwa tafsiri ya mkristo mimi kama
mkristo; NI MTU ANAYEISHI KATIKA MISINGI YA KIKRISTO,MWENYE TABIA KAMA
KRISTO.Hivyo mlevi,muongo,mwizi,mzinzi nk kwa tafsiri ya ukristo si
mkristo ni mtu mwenye jina la kikristo kama wewe ulivyo na jina
lako.Majina yasikuzuzue tu!

Hivi mnalalamika kiasi hicho, kwenye usukani yupo mwislam wenzenu! sipati picha awamu ijayo akiingia mwingine mnaowaita makafiri! endeleeni kufuga ndevu tu nafasi zipo kibao msijali.
 
Yaani katika masomo yoooote, mnalalamikia elimu yenu ya majini tu

Mbona hakuna hata siku moja nikasikia mkilalamika kwenye masomo ya sayansi au hata hesabu?

Sayansi? unamjuwa Alchemy?
 
Hivi kumbe terror ndio uoga??

[h=2]ter·ror[/h] noun \ˈter-ər, ˈte-rər\ : a very strong feeling of fear
: something that causes very strong feelings of fear : something that is terrifying
: violence that is committed by a person, group, or government in order to frighten people and achieve a political goal

[h=2]Full Definition of TERROR[/h]1
: a state of intense fear

2
a : one that inspires fear : scourge
b : a frightening aspect <the terrors of invasion>
c : a cause of anxiety : worry
d : an appalling person or thing; especially : brat

3
: reign of terror

4
: violent or destructive acts (as bombing) committed by groups in order to intimidate a population or government into granting their demands <insurrection and revolutionary terror>
- ter·ror·less adjective

See terror defined for English-language learners »

See terror defined for kids »

[h=2]Examples of TERROR[/h]
  • The sound of guns being fired fills me with terror.
  • Many civilians fled in terror.
  • a terror that is still fresh in her memory
  • the terrors of life in the jungle
  • a regime that rules by terror
  • bombings and other acts of terror
  • These people have been living with terror and the threat of terror for many years.
  • a campaign of terror against ethnic minority groups

[h=2]Origin of TERROR[/h]Middle English, from Anglo-French terrour, from Latin terror, from terr&#275;re to frighten; akin to Greek trein to be afraid, flee, tremein to tremble - more at trembleFirst Known Use: 14th century

[h=2]Related to TERROR[/h]Synonymsaffliction, hang-up, demon, tormentRelated Wordsbête noire, bogey (also bogie or bogy), bugaboo, bugbear, hobgoblin, ogreNear Antonymsaplomb, assurance, boldness, confidence, self-assurance, self-confidence; bravery, courage, courageousness, daring, dauntlessness, doughtiness, fearlessness, fortitude, gallantry, hardihood, intrepidity, intrepidness, stoutness, valor; audacity, guts, nerve
more

See Synonym Discussion at fear

[h=2]Rhymes with TERROR[/h]airer, bearer, carer, error, sharer, starer, swearer, wearer

[h=2]Learn More About TERROR[/h]Thesaurus: All synonyms and antonyms for "terror"
Spanish Central: Spanish translation of "terror"
 
Hili tatizo la dini halitakwisha. Sielewi ni kwa nini Islamic na Bible knowledge yamefanywa Kuwa ni masomo ya sekondari! Baada ya mgogolo wa majibu ya Islamic knowledge, Ndalichako aliomba masomo haya mawili yaondolewe kabisa kwenye mitaala ya sekondari.

ndugu zangu wa BAKWATA walikuwa wa kwanza kukataa! Lakini Ndalichako alikuwa sahihi kabisa. Anayeyahitaji kwa nguvu akasome seminari, basi!

Haya mambo mengine ya uislamu vs ukristu au waislamu vs wakristu kuachwa nyuma au eti nafasi fulani hatujawahi kushika ni upuuzi tu! Nani aliwabagua, nani aliwanyima, mulikuwa wapi wenzenu walipokuwa wakipata nafasi hizo? Muliomba mukanyimwa kwa sababu tu ya dini? Kwa uzembe mtu atasema ndiyo, unao ushahidi?

Historia ya nchi za east africa inaonyesha udhaifu wa uislamu ktk huduma za jamii. Kubali kataa hali iko hivyo ndo maana hakuna shule za maana au hospitali ya maana ikimilikiwa na dini hii. Hakuna aliyezuia kufanya hivyo halafu awaruhusu kujenga misikiti.

Mwinyi akiwa Rais tumeshuhudia juhudi ikiwa ni kujenga misikiti maeneo ya wazi kama magomeni traffic lights badala ya mashule.

Leo hii tukibaguana na kuongeza chuki, wakristu wakiamua kuwabagua mutatibiwa wapi? Bugando na KCMC zote za wakristu, munaowaita makafiri.

Najiuliza hali ya mkristu ingekuwaje kama waislamu ndo wangemiliki Bugando, KCMC, na sekondari zingine nzuri kama ilivyo kwa wakristu sasa hivi? Naamini wakristu wangekoma!

Acha kujidanganya ,huo ujinga nenda kahibiri kanisani ambako hamruhusiwi hata kuhoji mapato na matumizi. madai ya waislaam sio kubebwa,tunataka haki itendeke kwa watanzania wote,hatuhitaji kuifanya necta kuwa parokia,kwani umedanganywa kuwa wenye uwezo wa kuongoza necta mi waroma pekee?kuna maprofessor na ma doctor wangapi wanaokubalika kimataifa ambao ni waislaam? au watashindwa kuongoza kwa kuwa ni waislaam?
Kuhusu hospital ,hakuna mwislaam anaetibiwa burehuko bugando na Kcmc,wanalipa pesa kama ilivyo kawaida ya hospital za private,lkn kinachoumiza mpaka waislaam kulalamika ni kwamba hospitali hizo zinaendeshwa na pesa za walipa kodi wa tanzania wakiwemo waislaam. serikali inatowa mabilioni kulifadhili kanisa ili liendeshe hospital hizi ,sasa kwanini serikali isijenge hospital zake na kuboresha hizo za hospital za mikoa ili huduma itolewe kwa bei nafuu kuliko kuwapa wakristo ndio watoe huduma halafu kwa ghatama kubwa?
Mfano ktk hiyo hospital ya bugando gharama ya kimwona daktari ni zaidi ya 10000.kabla ya matibabu.kitanda ni zaidi ya elfi hamsini kwa siku ,halafu pesa inayopatikana hairudi serikalini na badala yake yote huenda kuwalipa mapadri na maaskofu bila hata kukaguliwa na serikali.huu ndio huitwa mfumo kristo.shule ni hivyohivyo maana ada no kuanzia laki sita mpaka milionibei sawa na shule ya mtu binafsi asie pokea chochote toka serikalini hii ni dhulma kubwa kwa walipa kodi wa Tanzania.yaani shule na hospital zijengwe na kanisa halafu pesa ya kuziendesha iwe ya watanzania wote na waislaam wakiwemo,halafu gharama ya huduma juu, anaetoza pesa ni kanisa kwa maslahi ya kanisa, bila serikali kukaguwa matumizi yake halafu shule za serikali na hospital za wilaya na mikoa hoi bila huduma halafu mnapongeza upumbavu?kweli watu mnaafikiri kwa makalio badala ya kichwa.
 
Pisha,pisha ndalichako kabla hujaleta machafuko .udini wako kafanyoe kanisani,na si ktk taasisi muhomu ya taifa kama necta.
wakristo wenye maslahi na wewe ndio hawaoni tatizo lako na ndio maana hata aki na mbatia wakawa wamakutetea kwa kuwa ndio moja ya kazi iliyowapeleka bungeni.
Nitawaletea barua ya James mbatia aliyomwandikia Kadrinari Pengo akimuondoa hofu kuwa asijali vijana wamejipanga kimkakati kuulinda mtaguso wa vatican.shame on you mdini mkubwa kwa kufanya kila jambo kwa kupendelea ukristo badala ya kutenda haki.
 
mbowe mdini,mbatia mdini na ndalichako mdio mkuu wao alietumwa ma kanisa katoliki kumwangamiza kila mtoto wa mwislaam atakae katiza pale NECTA.shame on you all
 
Tanzaniabila udini inawezekana ,pumzila salama mama Ndalichako ili waislaam wapumue maana ukatoliki jinsi ulivyoupa kipaumbele ni kama Samwel sitta alivyotumwa na Roma kumuondoa Lowassa kwenye cheo chake cha uwaziri mkuu.
 
Acha kujidanganya ,huo ujinga nenda kahibiri kanisani ambako hamruhusiwi hata kuhoji mapato na matumizi. madai ya waislaam sio kubebwa,tunataka haki itendeke kwa watanzania wote,hatuhitaji kuifanya necta kuwa parokia,kwani umedanganywa kuwa wenye uwezo wa kuongoza necta mi waroma pekee?kuna maprofessor na ma doctor wangapi wanaokubalika kimataifa ambao ni waislaam? au watashindwa kuongoza kwa kuwa ni waislaam?
Kuhusu hospital ,hakuna mwislaam anaetibiwa burehuko bugando na Kcmc,wanalipa pesa kama ilivyo kawaida ya hospital za private,lkn kinachoumiza mpaka waislaam kulalamika ni kwamba hospitali hizo zinaendeshwa na pesa za walipa kodi wa tanzania wakiwemo waislaam. serikali inatowa mabilioni kulifadhili kanisa ili liendeshe hospital hizi ,sasa kwanini serikali isijenge hospital zake na kuboresha hizo za hospital za mikoa ili huduma itolewe kwa bei nafuu kuliko kuwapa wakristo ndio watoe huduma halafu kwa ghatama kubwa?
Mfano ktk hiyo hospital ya bugando gharama ya kimwona daktari ni zaidi ya 10000.kabla ya matibabu.kitanda ni zaidi ya elfi hamsini kwa siku ,halafu pesa inayopatikana hairudi serikalini na badala yake yote huenda kuwalipa mapadri na maaskofu bila hata kukaguliwa na serikali.huu ndio huitwa mfumo kristo.shule ni hivyohivyo maana ada no kuanzia laki sita mpaka milionibei sawa na shule ya mtu binafsi asie pokea chochote toka serikalini hii ni dhulma kubwa kwa walipa kodi wa Tanzania.yaani shule na hospital zijengwe na kanisa halafu pesa ya kuziendesha iwe ya watanzania wote na waislaam wakiwemo,halafu gharama ya huduma juu, anaetoza pesa ni kanisa kwa maslahi ya kanisa, bila serikali kukaguwa matumizi yake halafu shule za serikali na hospital za wilaya na mikoa hoi bila huduma halafu mnapongeza upumbavu?kweli watu mnaafikiri kwa makalio badala ya kichwa.

Very poor arguments reflecting your poor knowledge bank. Sasa mtu Kama wewe nawe udai nafasi eti tu kwa sababu muislam!

ninachotaka kusikia siyo taratibu za serikali, hayo tumwandikie Mrisho atusaidie kueleza kwa nini wanasaidia hospitali za makanisa, lakini naelewa atakujibu kwamba serikali inazihitaji kuliko kanisa linavyohitaji msaada wa serikali kuendesha shughuli zake.

Je, mbona waislamu hawajengi hospitali ili wasaidiwe kuziendesha Kama wakristu wanavyofaidi? Nani hataki? Hawana viwanja au vimeuzwa vyote na BAKWATA? Unataka aliyejenga akatangulia naye asimame?

Nchi hizi zetu ni maskini kwa mengi pamoja na elimu kama ulivyo. Kwa waliotangulia tuwaombe watusaidie kwenda mbele. Hatuhitaji kontena za tende. Watuletee scholarship na x-ray ktk mahospitali yetu. Hapo utalinga na dini yako.

You are simply poor in making the difference.
 
Kwa waliotangulia tuwaombe watusaidie kwenda mbele. Hatuhitaji kontena za tende. Watuletee scholarship na x-ray ktk mahospitali yetu. Hapo utalinga na dini yako.
Ondoeni sheria ya ugaid basi!

Hata kama mimi ningekuwa ninafanya kazi katika shirika la misaada ya Waislamu sitakubali kuidhinisha mamilioni ya pesa za sadaka za wavuja jasho Waislamu kwenda kujenga shule na miradi mbalimbali kwa Waislamu wa Tanzania "only" kuja kuambiwa kuwa miradi inawafadhili magaidi na ugaidi hivyo kuishiwa kutaifishwa.
 
Acha kujidanganya ,huo ujinga nenda kahibiri kanisani ambako hamruhusiwi hata kuhoji mapato na matumizi. madai ya waislaam sio kubebwa,tunataka haki itendeke kwa watanzania wote,hatuhitaji kuifanya necta kuwa parokia,kwani umedanganywa kuwa wenye uwezo wa kuongoza necta mi waroma pekee?kuna maprofessor na ma doctor wangapi wanaokubalika kimataifa ambao ni waislaam? au watashindwa kuongoza kwa kuwa ni waislaam?
Kuhusu hospital ,hakuna mwislaam anaetibiwa burehuko bugando na Kcmc,wanalipa pesa kama ilivyo kawaida ya hospital za private,lkn kinachoumiza mpaka waislaam kulalamika ni kwamba hospitali hizo zinaendeshwa na pesa za walipa kodi wa tanzania wakiwemo waislaam. serikali inatowa mabilioni kulifadhili kanisa ili liendeshe hospital hizi ,sasa kwanini serikali isijenge hospital zake na kuboresha hizo za hospital za mikoa ili huduma itolewe kwa bei nafuu kuliko kuwapa wakristo ndio watoe huduma halafu kwa ghatama kubwa?
Mfano ktk hiyo hospital ya bugando gharama ya kimwona daktari ni zaidi ya 10000.kabla ya matibabu.kitanda ni zaidi ya elfi hamsini kwa siku ,halafu pesa inayopatikana hairudi serikalini na badala yake yote huenda kuwalipa mapadri na maaskofu bila hata kukaguliwa na serikali.huu ndio huitwa mfumo kristo.shule ni hivyohivyo maana ada no kuanzia laki sita mpaka milionibei sawa na shule ya mtu binafsi asie pokea chochote toka serikalini hii ni dhulma kubwa kwa walipa kodi wa Tanzania.yaani shule na hospital zijengwe na kanisa halafu pesa ya kuziendesha iwe ya watanzania wote na waislaam wakiwemo,halafu gharama ya huduma juu, anaetoza pesa ni kanisa kwa maslahi ya kanisa, bila serikali kukaguwa matumizi yake halafu shule za serikali na hospital za wilaya na mikoa hoi bila huduma halafu mnapongeza upumbavu?kweli watu mnaafikiri kwa makalio badala ya kichwa.
...Naona hapo kwenye red tuwaulize Mwinyi alishindwa nini na JK anashindwa nini? Hivi kati ya kanisa na serikali nani anayemuhitaji mwenzake? kasome historia ya MoU baina ya kanisa na serikali - hata waislam walishirikishwa lakini kwa kuwa wao hawakuwa na cha kuingia MoU wakadisappear sijui kama waliaga. Hospitali za kanisa zilikuwepo na zilikuwa zikifanya vizuri kabla hata ya hizo ruzuku za MoU. Na hata leo mwambieni Dr mkatamawingu aitoe serikali kwenye MoU uone kama hizo hospitali zitakufa.
Halafu, Mkuu hivi gharama za matibabu wakristo na waislam hulipa tofauti?
 
Mama Ndalichako pongezi. Mapambano bado yanaendelea. Uliwabana hao mafisadi wa CCM wasiibe mitihani ili waendelee kutudanganya kuwa elimu yetu ni bora kuliko sehemu nyingine duniani. Sera ya CCM ni kuongeza wajinga ili waendelee kutawala milele. Kwao CCM mtoto kufika kidato cha nne na hajui kusoma wala kuandika ni moja kati ya mafanikio makubwa sana.
 
...Naona hapo kwenye red tuwaulize Mwinyi alishindwa nini na JK anashindwa nini? Hivi kati ya kanisa na serikali nani anayemuhitaji mwenzake? kasome historia ya MoU baina ya kanisa na serikali - hata waislam walishirikishwa lakini kwa kuwa wao hawakuwa na cha kuingia MoU wakadisappear sijui kama waliaga. Hospitali za kanisa zilikuwepo na zilikuwa zikifanya vizuri kabla hata ya hizo ruzuku za MoU. Na hata leo mwambieni Dr mkatamawingu aitoe serikali kwenye MoU uone kama hizo hospitali zitakufa.
Halafu, Mkuu hivi gharama za matibabu wakristo na waislam hulipa tofauti?
Mou ilikua kati ya kanisa na serikali tu.

Tena huo mfumo hauko hapa Tanzania tu,nenda uganda,zambia,namibia etc utakuta kuna huo mkataba.ni deal lilisukwa na kanisa.
 
...Sasa waislam wangesukia deal kitu gani? taja basi hata hospitali moja tusaidiane kuishinikiza serikali iipe deal
 
Mou ilikua kati ya kanisa
na serikali tu.

Tena huo mfumo hauko hapa Tanzania tu,nenda uganda,zambia,namibia etc
utakuta kuna huo mkataba.ni deal lilisukwa na kanisa.

wananchi sehemu kusikokuwa na hospitali za serikali ndiyo wanufaika wa hiyo mou.
 
Back
Top Bottom