Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Aisee kwamba akiwekwa muislam atawafaulisha hata yale matoto galasa kabisa kisa tu ni waislam

Na waislam waliofaulu chini ya ndalichako ilikuwaje.!?
jiulize wakristo walipata kazi chini ya dr dau nssf imekuwaje.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kama hakuna mwenye sifa je? kama tunaangalia dini angalia kipindi ambacho wizara ya fedha ambacho iliongozwa na Mwenzetu Mkulo na wasaidizi wake wote walipokuwa 'wenzetu pia" ndo kipindi ambacho kimeharibu uchumi wetu mpaka leo,Swala ni sifa na wala si uenzetu!
 
Mhh haya mambo Nyerere aliyatabiri miaka hiyo...

Poor you FF...udini wa nini tena?
 
ha ha haaaa! Black widow. A woman of no commercial value
mwenzako ameshakutajia anamiliki house kariakoo,mbezi,sinza etc.

Sasa wewe unaemiliki kibanda huko buzebazeba utalingana nae kweli,we nyakageni?
 
Kama hakuna mwenye sifa je? kama tunaangalia dini angalia kipindi ambacho wizara ya fedha ambacho iliongozwa na Mwenzetu Mkulo na wasaidizi wake wote walipokuwa 'wenzetu pia" ndo kipindi ambacho kimeharibu uchumi wetu mpaka leo,Swala ni sifa na wala si uenzetu!
kama sifa zipi?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Nenda kaichukue wewe, inaonekana ni mwislamu haswa
 
mwenzako ameshakutajia anamiliki house kariakoo,mbezi,sinza etc.

Sasa wewe unaemiliki kibanda huko buzebazeba utalingana nae kweli,we nyakageni?

acha ushabiki maandazi....FF amesema hizo nyumba ni za urithi kutoka kwa WAZEE wake....!kwa hiyo kama wazee wako wapo hai na wanavitega uchumi unataka aombe wafe ili naye amiliki vya urithi!wewe ndo walewale uwezo mdogo unataka upewe As then upate Div I kisa uislamu???
 
udini udini @ work, i hate it,sijui wahindu sijui waseme nini
 
acha ushabiki maandazi....FF amesema hizo nyumba ni za urithi kutoka kwa WAZEE wake....!kwa hiyo kama wazee wako wapo hai na wanavitega uchumi unataka aombe wafe ili naye amiliki vya urithi!wewe ndo walewale uwezo mdogo unataka upewe As then upate Div I kisa uislamu???
kwahiyo nyumba ya urithi haina commercial value?.

Nadhani IQ yako iko below normal.
 
mwenzako ameshakutajia anamiliki house kariakoo,mbezi,sinza etc.

Sasa wewe unaemiliki kibanda huko buzebazeba utalingana nae kweli,we nyakageni?

Huyu mwanamke ni used, chakavu, au mtumba. Nilimuuliza swali akashimdwa kunijibu, nilimuuliza kwa nini anamponda Nyerere wakati wazazi wake walijipatia mali wakati wa utawala wake.
 
Huyu mwanamke ni used,
chakavu, au mtumba. Nilimuuliza swali akashimdwa kunijibu, nilimuuliza
kwa nini anamponda Nyerere wakati wazazi wake walijipatia mali wakati wa
utawala wake.

concept ya mwanamke 'used' imenicheksha kwelikweli!!
 
Nimesoma mahali NECTA wametoa vigezo vipya vya kupanga grades za form 4 na 6... (ni mheshimiwa waziri mwenyewe ametangaza)walitaka awapishe wafanye madudu yao....Yani baada ya kuona kiwango cha ufaulu kimeshuka grade nazo zinashusha ili kuwafuata watahiniwa huko huko chini... ama hakika wakati wengine wanaongeza viwango wazidi kuwa juu sisi tunakimbilia kushasha viwango
 
Huyu mwanamke ni used, chakavu, au mtumba. Nilimuuliza swali akashimdwa kunijibu, nilimuuliza kwa nini anamponda Nyerere wakati wazazi wake walijipatia mali wakati wa utawala wake.
kuna watu walijipatia mali wakati wa mwingereza na bado waliwaponda.

Manake ni kwamba walizipata kwa juhudi zao na hawakupewa na mwingereza.
 
Nampongeza Dr Msonde kwa kukabidhiwa nafasi hiyo nyeti sana naamini atafanya kazi nzuri na kuendeleza heshima ya Baraza
 
Back
Top Bottom