Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Kwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana

unaumia nini? Suala ni kufanya kazi kwa weledi tuu,bila ushabiki kama hawezi ayaondoka tuu! simple
 
ndo tabu ya akili kubwa ndalichako kuongozwa na akili ndogo ya waziri wa elimu muislamu kawambwa........kashindwa hata kuzibeba shule za kiislam zinaburuza mikia kama simba hata haoni aibu bagamoyo inavyobebwa na shule za kikristo ( marian girls and boys)
 
Dada FF,ningependa kukuomba kama Mtanzania japo ni mkristu au kafir kulingana na term yenu kwa wakristu,kwa sababu unafanya consultancy nadhani unauwezo wa kutusaidia ili ufanye RESEARCH yenye kutenda haki itakayohusu elimu ya Tanzania,kwa kuangalia Mitaala ambayo imebadilishwa na isiyokidhi matakwa ya ELIMU yetu,pilifanya utafiti wa kina kwenye shule za binafsi,za dini,za serikali ili uweze kutuletea tafiti itakayotusaidia watanzania kujuatujisaidie vipi ili watoto wetu wapate elimu bora na si bora elimu.Udini hautatusaidia hata kidogo.

Mkuu, kwa comment zake za utumbo anazotoa humu JF unadhani atakuwa "objective" na kuwa "impartial" wakati wa kufanya hiyo research yake??.

Huyu ni mdini asiye na haya, kufeli kwa waislamu asisingizie eti kulikuwa na mfumo kristo, na haelezei wale waislamu waliofaulu na ni ma professor wamesoma wapi??

Achana nae mdini huyo!
cc FaizaFoxy
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Umenchefua kama nini.. Ulishawahi kuwaza aliyekuadmit shule, chuo, aliyekuajiri, anaekutibu,anaekusafirisha angezingatia hicho kigezo katika nchi hii ungekua katika hatua gani ya kimaisha >>>?!
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Kweli kazi tunayo. Udini jamani tuache, kweli unawaza kwamba hakiingia wa dini fulani ndiyo kutatatua matatizo? Je ambao hawana dini nao waje waseme hivyo itakuwaje? Karne hii tunajadili udini?

Tanzania tubadilike.
 
Prof Mkandala mwenyewe huyo ni majanga matupu, usikute kashaweka na ukabila hapo


Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.

Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.

Nawasilisha
 
Naona kijana unaruka ruka kwa shangwe kama vile umeshinda zawadi ya gari katika shindano la bahati nasibu.Aliyekuambia Dr Ndalichako kafukuzwa ni nani?Tuliza boli FaizaFox ameomba tu Sabhatical leave ili akamilishe majukumu yake ya Kimataifa akimaliza tu mtamwona tena Ofisini kwake pale Baraza la Mitihani la Taifa.Kama mlitegemea mngeanza kufaulu bila kusoma kwa juhudi baada ya Dr Ndalichako kuondoka poleni imekula kwenu because Dr Ndalichako is there to stay and she won't leave out of your baseless noises.Study hard my friend and believe me you will make it.

great words mkuu....
 
Miwasho mibaa sana dogo. Ponda anakukera sio, au umefundishwa na maparoko wako?

When you're too religious, you tend to point your finger to judge instead of extending your hand to help.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Your religious beliefs are your business. They are not and should not be the basis for law. If you use them as justification to discriminate against others, don’t be upset when others decide you’re an asshole.

Jim c.
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

Muislaam! Ndo nani huyo au ndo ukiandika Kama mwarabu, unakuwa karibu na mbingu? Tunataka performance siyo ujinga ujinga huo. Tutafutie muislam anayefanya kazi siyo swala! Bahati mbaya huyo muislam atatafutwa na mashehe wanaojua elimu ahela, sijui hesabu, physics, biology, chemistry, geografia, n.k. Itaenda vipi?
 
si kila idara nyeti inapaswa kushikwa na wakatoliki,mbona shirika la NSSF linaongozwa kwa ufanisi mkubwa kuliko mifuko mingone ya hifadhi za jamii,mbona haki inatendeka?kwanini necta igeuke machinjio ya waislaam na kuwabeba wakristo hasa wakatoliki?
ushahidi wa kuwa wakatoliki wanabebwa ni jinsi shule zao zinavyoongoza kwenye mitihani ya taifa kila mwaka kwa kupata division one lkn wanapokwenda vyuo vikuu ambako haki inatebdeka,utakuta mtoto mwenye one anakimbizwa darasani na aliepata div three.hili ni tatizo.huu ni ushahidi wa kimazingira kuwa qatu walibevwa.mfano mwingine ni mh.mnyika ambae wakati anasoma o-level ktk shule ya kanisa alipata alama A tisa yaani one ya point saba lkn cha ajabu alipomaliza form six ktk shule isiyo ya kanisa akapata div four .hii haingii akilini maana kwa uzoefu ni kuwa,ni rahisi sana kufaulu mtihani wa form six kuliko form four lkn why mnyika alifeli a-level kama kweli hizo A alizipata kwa akili zake?

Shule yako iliishia darasa la ngapi? Uandikaji wako hauonyeshi kama Uko juu ya darasa la 12 la pale Kinondoni muslim.
Juzi tumeitaja NSSF. Shirika ambalo ukiomba ajira unaulizwa jina la mama wa mtume Kama wale Jamaa wa Westgate, al shabaab.
 
Narudia tena ombi langu Invisible na wenzio tuchunguze kama account ya bi Faizafoxy haijaingikiwa na inavurugwa..maana imekuwa majanga
Faizafox ndivyo alivyo akili yake inamtosha kuvuka barabara asigongwe na magari na si vinginevyo
 
Shule yako iliishia darasa la ngapi? Uandikaji wako hauonyeshi kama Uko juu ya darasa la 12 la pale Kinondoni muslim.
Juzi tumeitaja NSSF. Shirika ambalo ukiomba ajira unaulizwa jina la mama wa mtume Kama wale Jamaa wa Westgate, al shabaab.

Baada ya kujua hili ni dili nimemwuliza Mwislamu moja jina la mama wa mtume wao akaniambia ni Amina. Jamani mnaokwenda kuomba kazi msisahau hili jina.
 
Nadhani ni wakati mzuri nafasi yake ikachukuliwa na Dr Ponda Issa Ponda hili na sisi wanafunzi wa madlasa tukapewa Shahada si unajua tena kama wasiojua kusoma na kuandika wanakwenda sekondali sembuse sisi

Ningekujibu lakini hebu rekebisha hapo kwenye rangi nyekundu ili nikuelewe vizuri
 
Faizafox ndivyo alivyo akili yake inamtosha kuvuka barabara asigongwe na magari na si vinginevyo
kwa upande wangu namuunga mkono faizafox! ile ni taasisi ya umma. waislamu wamelalamika kwa miaka mingi kuwa NECTA imekua machinjio ya waislamu ili wasiende vyuo vikuu. awekwe muislamu ili haki itendeke.
 
Hivi ww darasa la ngapi? Kati ya waziri na ndalichako nani mwenye nguvu? Hata baraza liwe la waislam wote bado si solution. Je hii itasaidia huhamasisha waislam kusoma kwa juhudi? Si pingi ulichosema lkn kwa maoni yangu hii itakuwa hatari km performance ya wanafunzi wa kiislam itaendelea kuwa mbaya zaidi ina maana ukweli utajulikana

bro kubali kuwa waislamu ni sehemu ya jamii ya watanzania. wana haki ya kueleza kero zao. waislamu wamelalamika kwa zaidi ya miaka 20 kuwa NECTA hakuna kiongozi yeyote muislamu. kuanzia katibu mkuu hadi chini ni wakristo watupu. labda uwe huwapendi waislamu lkn wape haki yao ya kusikilizwa. waliwahi kutoa ushahidi kuwa wanafunzi waislamu wanafelishwa makusudi. awekwe katibu mkuu muislamu na waongezwe wakuu wa idara waislamu ili haki (balance of power) itendeke pale machinjioni
 
Back
Top Bottom