Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

bro kubali kuwa waislamu ni sehemu ya jamii ya watanzania. wana haki ya kueleza kero zao. waislamu wamelalamika kwa zaidi ya miaka 20 kuwa NECTA hakuna kiongozi yeyote muislamu. kuanzia katibu mkuu hadi chini ni wakristo watupu. labda uwe huwapendi waislamu lkn wape haki yao ya kusikilizwa. waliwahi kutoa ushahidi kuwa wanafunzi waislamu wanafelishwa makusudi. awekwe katibu mkuu muislamu na waongezwe wakuu wa idara waislamu ili haki (balance of power) itendeke pale machinjioni

Hamtaridhika nyinyi mkitoka kwa Dr Ndalichako mtahamia katika Vyuo vinavyomilikiwa na Wakristo mkitaka Utawala wa Vyuo,Faculties & Departments uwe chini ya Waislamu!
 
Hamtaridhika nyinyi mkitoka kwa Dr Ndalichako mtahamia katika Vyuo vinavyomilikiwa na Wakristo mkitaka Utawala wa Vyuo,Faculties & Departments uwe chini ya Waislamu!
Lakini si wana chuo kikuu cha kiislamu Dodoma kinaitwa UDOM mkuu, bado watataka waingie na kwingine?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.

toka dr. Ndalichako ameshika hiyo nafasi kuna muislamu amewahi kufaulu?
 
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.

na mtaendelea kufeli vile vile!
 
toka dr. Ndalichako ameshika hiyo nafasi kuna muislamu amewahi kufaulu?

Una uhakika hakuna Muislamu aliyefaulu tangu Dr Ndalichako awe Katibu Mkuu pale BMT?If you haven't researched anything then you have no right to speak.Umenikumbusha kuhusu madai ya Sheikh mmoja hivi katika moja ya mihadhara ya Waislamu waliyokuwa wakiifanya kipindi kileee Nchi nzima...Akawaambia Waislamu wenzake kwamba Serikali imekuwa ikiwaonea Waislamu kwa miaka sana,Kwamba wamefikia hatua hata ya kupora mali za Waislamu kama vile shule na hawataki kuzirudisha kwa wenyewe Waislamu,Kwamba eti Serikali inawapendelea Wakristu kwa kuwapa majengo ya Serikali ili wayageuze shule,nk.Kwa mtu usiye mfuatiliaji wa mambo unaweza kumuamini huyu Sheikh!Lakini amesahau kwamba Serikali pia iliwapatia Waislamu Jengo la Chuo cha TANESCO Morogoro waanzishe Chuo Kikuu.Amesahau kwamba hata Shule na Vyuo vingi tu vya Wakristu vilitaifishwa na havijarudishwa mpaka leo.Waislamu punguzeni kutunga mambo sio vizuri.
 
Hamtaridhika nyinyi mkitoka kwa Dr Ndalichako mtahamia katika Vyuo vinavyomilikiwa na Wakristo mkitaka Utawala wa Vyuo,Faculties & Departments uwe chini ya Waislamu!

dogo tofautisha taasisi ya umma (NECTA) na vyuo binafsi vya wakristo. watanzania mbona tunakua wavivu wa kuchambua! ni viroba au?
 
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Jenga hoja inayoeleweka....Ni kwa vipi dini iwe mmojawapo ya vigezo vya kumpata kiongozi taasisi ya serikali kama NECTA? Unapimaje imani ya mtu? Kwa majina? Watu kama nyinyi ndio mnawadhalilisha waislamu na uislamu huku mkidhani mnautetea!
 
Sabbatical leave (likizo ya kubangua bongo) it only apply when academic staff anafundisha University tu huko serikalini hakuna kitu kinaitwa Sabbatical ni namna yaq kumtoa dr. ndalichako pale ili baadae wamtafute Ustaadh aliye PhD holder wamuweke ili arekebishe mambo kabla mzee hajamaliza awamu yake.....mteuliwa ni Dean Graduate Studies UDOM yule Mzanzibari.
 
si kila idara nyeti inapaswa kushikwa na wakatoliki,mbona shirika la NSSF linaongozwa kwa ufanisi mkubwa kuliko mifuko mingone ya hifadhi za jamii,mbona haki inatendeka?kwanini necta igeuke machinjio ya waislaam na kuwabeba wakristo hasa wakatoliki?
ushahidi wa kuwa wakatoliki wanabebwa ni jinsi shule zao zinavyoongoza kwenye mitihani ya taifa kila mwaka kwa kupata division one lkn wanapokwenda vyuo vikuu ambako haki inatebdeka,utakuta mtoto mwenye one anakimbizwa darasani na aliepata div three.hili ni tatizo.huu ni ushahidi wa kimazingira kuwa qatu walibevwa.mfano mwingine ni mh.mnyika ambae wakati anasoma o-level ktk shule ya kanisa alipata alama A tisa yaani one ya point saba lkn cha ajabu alipomaliza form six ktk shule isiyo ya kanisa akapata div four .hii haingii akilini maana kwa uzoefu ni kuwa,ni rahisi sana kufaulu mtihani wa form six kuliko form four lkn why mnyika alifeli a-level kama kweli hizo A alizipata kwa akili zake?

acha uongo hapa jukwaani....ebu tuongee kwa evidence kidogo hapa...mimi nitatumia mifano michache kutoka st francis girls ya mbeya;mwaka 2009...kuna mabinti kama catherine,imaculata,jovita,gloria na sarah(sitotumia full names coz of privacy)...huyo cath alienda holland,ima akaenda uswis,gloria akaenda IST,sarah akaenda HOPAC for international diplomas...na kwa sasa wote wapo nchi mbalimbali ulaya na marekani baada ya hapo mf sarah yupo HAVARD....sasa unaposema wakifika vyuoni wanapitwa tu..itakua sio kweli maana perfomance ya mtu huathiriwa na vitu vingi kadri anavyokua!ni kweli wapo ambao hawafanyi vizuri hata advance ila ni WACHACHE kati yao.
 
Sabbatical leave (likizo
ya kubangua bongo) it only apply when academic staff anafundisha
University tu huko serikalini hakuna kitu kinaitwa Sabbatical ni namna
yaq kumtoa dr. ndalichako pale ili baadae wamtafute Ustaadh aliye PhD
holder wamuweke ili arekebishe mambo kabla mzee hajamaliza awamu
yake.....mteuliwa ni Dean Graduate Studies UDOM yule Mzanzibari.

kwa taarifa yako wahadhiri wa chuo kikuu wanapopata vyeo serikalini wanakuwa seconded tu. uhadhiri wao haukomi!
 
Hatufanyii mitihani, la hasha. Kwani Ndalichako alipo felisha Waislaam alikuwa anawafanyia mitihani? fikiri!

Atahakikisha mbinu chafu alizokuwa akitumia Ndalichako hazirudiwi tena. Unataka kuzijuwa ni zipi?

Soma hapa: Home
Wala sina muda wa kusoma hayo. Watoto hawafundishwi ipasavyo, hawana nidhamu, hawana muda wa kujisomea, hawana vifaa/maabara, hawaandaliwi vizuri, wapo wapo tu unadhani watafaulu mitihani? Kwani Ndalichako ndio anasahihisha mitihani?
 
Acha ujinga wewe Fox,hatuitaji dini hapo,tunahitaji elimu na ufanisi! kwan uislamu ndio unakuja kufanya kaz au ni mtu?
Na mie ndio nimemshangaa kwa hilo. Yaani mtu amefikia ukomo wa kufikiri.
 
Tuache ukabila na Udini.

Mwenye sifa ndio apewe nafasi, tusiangalie rangi, sura, kabila wala dini.
 
si kila idara nyeti inapaswa kushikwa na wakatoliki,mbona shirika la NSSF linaongozwa kwa ufanisi mkubwa kuliko mifuko mingone ya hifadhi za jamii,mbona haki inatendeka?kwanini necta igeuke machinjio ya waislaam na kuwabeba wakristo hasa wakatoliki?
ushahidi wa kuwa wakatoliki wanabebwa ni jinsi shule zao zinavyoongoza kwenye mitihani ya taifa kila mwaka kwa kupata division one lkn wanapokwenda vyuo vikuu ambako haki inatebdeka,utakuta mtoto mwenye one anakimbizwa darasani na aliepata div three.hili ni tatizo.huu ni ushahidi wa kimazingira kuwa qatu walibevwa.mfano mwingine ni mh.mnyika ambae wakati anasoma o-level ktk shule ya kanisa alipata alama A tisa yaani one ya point saba lkn cha ajabu alipomaliza form six ktk shule isiyo ya kanisa akapata div four .hii haingii akilini maana kwa uzoefu ni kuwa,ni rahisi sana kufaulu mtihani wa form six kuliko form four lkn why mnyika alifeli a-level kama kweli hizo A alizipata kwa akili zake?

Mnyika hakupata division four form six.....alipata division two. Kama huna uhakika na unachokisema ni bora ukakaa kimya kuliko kupayuka kama mtu mpumbafu. Nina amini mtu yeyote mwenye reasoning ya kawaida anayefuatilia siasa za Bongo, atakubaliana na mimi kwamba pointi 7 zinafanana na Mnyika i.e. ukiambiwa alipata points 7 unasema ---"Ok ndio maana ...." kwa sababu anafanana nazo ! Mtu ambaye hajamaliza first degree anapambana na watu waliobobea kwenye mambo ya sheria utafikiri ana PhD ya mambo ya sheria !.....Actually mimi nilikuwa nafikiri kwamba mnyika ana masters

Vile vile ni kawaida kabisa kwa mtu kufaulu kwenye ngazi na baadaye kufeli kwenye ngazi nyingine...kitu gani cha ajabu hapo ? Mazingira katika hizo ngazi za kusoma kwa huyo mwanafunzi yanaweza kuwa completely different, mtu anaweza akabadilika tabia (mfano kwenye level moja anaweza kuwa na bidii kwenye level nyingine akawa mzembe), na factors nyingine kibao.......Kama umesoma na kufikia ngazi ya chuo hapa bongo kwa vyovyote utakuwa umekutana na watu ambao wamewahi kuperform sana kwenye level moja na kufeli kabisa kwenye level nyingine....Kuna mtu namfahamu alipata division one kali form four, halafu akapata zero form six, baadaye alifanikiwa kuingia chuo cha IAA Arusha na kuperform mpaka wakambakiza hapo kama mwalimu....Mpaka leo hii ni mwalimu wa chuo hicho.....Mifano ipo mingi tu, hata hivyo huhitaji mfano kujua kwamba kitu kama hicho kinaweza kutokea unless uwe mpumbafu !....

Eti - "haiingii akilini...." we vipi, yaani kufaulu sana kwenye level moja na kufeli kwenye level nyingine ni jambo lisiloingia akilini !?. Labda akili ya watu wanaofikiri wana akili kumbe mamburula tu !... It happens all the time ! na haina maana kwamba huyo aliyefeli akili imeondoka ! akili ni kama talent au potential - it is there - kama God amekupa - amekupa tu unayo unaweza ukaitumia vizuri kwenye level moja na kufanya wonders na kwa sababu zozote zile unaweza usiitumie hiyo potential kwenye level nyingine na hivyo - unaweza kutoka div 1 to zero and vice versa - inatokea kwa wachache lakini inatokea - Ni mpumbafu tu anaesema haiwezi kutokea
 
Back
Top Bottom